Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

mkuu acha kumsema mfu kwa ubaya hata kama kakosea kumbuka hakuna mkamilifu sisi wote ni wakosaji na mbona ana sifa nyingi tu nzuri kwa nini usizitaje hizo?mojawapo Michael alikuwa mpole na mwema sana kwa watoto wake,muangalie huyu mwanawe Paris anasema nini katika hii video
 
Mkuu umenikumbusha machungu yaliyoanza kupotea!
Ile siku nililia sana kwa maneno ya huyu mtoto,hadi nimetoa chozi!
 
Hivi kumbe alifanyaga naye mazungumzo,maana stori za mtaani wanasema aliishia uwanja wa ndege
Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!
 
Hakuna alipokosea. Ni nidhamu zetu tu za uoga watu wa Africa. Tunaona kama rais ndo mungu
 
Na wale wanaoongea na mh.Rais wakakunja nne,mbona huwasemi,tena mwenyewe kashika mikono kuonyesha unyenyekevu
 
That was a casual pose hata ukimwona mwinyi karelax kifriendly tu jmn. Watanzania mambo mengine mnaboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…