Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Kumbe Nifah nawe ni mtoto hivyo. Alikuja mpaka kijitonyama mabatini polisi nyuma yake kuna kituo cha watoto wenye mtindio wa akili. Na mlinzi wake mmoja aliibiwa camera moja sony nzuri sana. Weee achaaa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shkamoo Bongo.
Hadi MJ kalizwa?
BTW...Mimi sio mdogo kihivyo mkuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Asante kwa taarifa.
 
soli ya hicho kiatu cha Michael Jackson imeisha sana
Au macho yangu!
 
mkuu acha kumsema mfu kwa ubaya hata kama kakosea kumbuka hakuna mkamilifu sisi wote ni wakosaji na mbona ana sifa nyingi tu nzuri kwa nini usizitaje hizo?mojawapo Michael alikuwa mpole na mwema sana kwa watoto wake,muangalie huyu mwanawe Paris anasema nini katika hii video

so sad
 
Kakosea nini. Unawasema hadi marehemu.
Mamndenyi tatizo tumeshazoweshwa kuwasifia marehemu... pengo halizibiki, aliishi vizuri, alikuwa mfano wa kuigwa....etc yaani hata majambazi wakifa maneno huwa ni hayo
 
Eti Magu angemkata kibao...acha kumsemea Mtu mwingine fikira zako......wakati concetration kubwa ingehamia kwenye kukamata hilo ng'eng'e linaloporomoshwa hapo na kurudisha majibu, hilo la alikaaje lingekuja kuonwa baadae kwenye picha kama tunavyoangalia sasa.
 
Hivi kumbe alifanyaga naye mazungumzo,maana stori za mtaani wanasema aliishia uwanja wa ndege
Usiamini kila unalosikia Ndugu.

Kama maneno yangekuwa Wembe basi kwa miaka hamsini aliyoishi Michael hapa duniani angezikwa akiwa punje punje.
 
Eti Magu angemkata kibao...acha kumsemea Mtu mwingine fikira zako......wakati concetration kubwa ingehamia kwenye kukamata hilo ng'eng'e linaloporomoshwa hapo na kurudisha majibu, hilo la alikaaje lingekuja kuonwa baadae kwenye picha kama tunavyoangalia sasa.
Hahahaha concentration ingehamia wapi?
 
bora alikosa heshima lakini alitoka huko kwake kwenye raha kuja kuhimiza dunia iwaletee msaada waafrika na wewe ulikuwemo,ila walio naheshima kama wewe mlikuwa mnawaza ubadhilifu wa mali za umma
 
kizazi cha rumumba kina shida sana,nasikia mmeanza kushikana uchawi,ngojeeni ukuta wa china unawasubiri,
 
Mm nimekuelewa...umeleta picha pia umefanya kama utani.....
 
Tamaduni hazifanani acha ushamba wewe, sio kila unachokifanya kuwa heshima hapa kitakuwa hivyo upande mwingine wa dunia.
 
Hakuna alipokosea. Ni nidhamu zetu tu za uoga watu wa Africa. Tunaona kama rais ndo mungu

Hahahaaa,, Nusuhela kumbe unajua kama kuna mungu eeenh [emoji1][emoji1][emoji1] ama kwel mungu n muweza wa kila kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shkamoo Bongo.
Hadi MJ kalizwa?
BTW...Mimi sio mdogo kihivyo mkuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Asante kwa taarifa.

Hapana Nifah sijakuona mdogo nimetania tu. Ila kweli alilizwa hapo kijitonyama camera na vibaka wa bongo.
 
Back
Top Bottom