Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona Michael kaweza?!Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
Ww unashida sana ya kuona na kuelewa. Haya hayakuwa mazungumzo ya serikali, isitoshe Mzee Mwinyi mwenyewe ameweka mguu mmoja juu, kwann hujasema hilo!View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Pamoja na kukengeuka (kubadirika kitabia) bado Michael Jackson akubadili maadili juu ya mtazamo kwa Wazee.View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Sasa wewe unashangaa hiyo. Dhamani matajiri walikuwa wanaongea na MTU ambae kamzidi kipato uku na Cigarette take mkononiHuwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Yamkini bado hujawahi kumiliki sofa wewe!View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Hahahah, kuna watu hamna maana. HahahaKiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
Shoga huyuView attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Alikuwa CCMKapendeza shati la kijani na suruali nyeusi