Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

MJ alikua mwana CCM unabisha!?😀😉😉..
 
View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Ww unashida sana ya kuona na kuelewa. Haya hayakuwa mazungumzo ya serikali, isitoshe Mzee Mwinyi mwenyewe ameweka mguu mmoja juu, kwann hujasema hilo!
 
View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Pamoja na kukengeuka (kubadirika kitabia) bado Michael Jackson akubadili maadili juu ya mtazamo kwa Wazee.

Kijana huyu katika maisha yake yote alionesha kuwapenda na kuwajali walio juu ya Umri wake.
nelson-and-mj.jpg
nelson-and-mj.jpg
 
Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Sasa wewe unashangaa hiyo. Dhamani matajiri walikuwa wanaongea na MTU ambae kamzidi kipato uku na Cigarette take mkononi
 
Sasa kosa gani hilo si wanapiga story tu
 
Mkuu kama ww ni baba, basii familia yako inapata shida sana kwa misimamo yako.
 
180ed71a1b5ac4e1f98ff617cd8a44f0.jpg


Ni kawaida yake MJ kukaa hivyo
Hapo yupo na rais wa Gabon wakati huo marehemu rais Omary Bongo Ondimba
 
77f1426077d8843487841006bbcb3962.jpg


Baadae tulimwambia akae kwa adabu kwani anaongea na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Akatiii amri.....!!
 
duh kachoka hadi kakosa pesa yakununuwa viato R.i.p Jackson
 
The greatest entertainer that ever lived.. Sidhani kama atakuja kutokea mwanamuziki atakaependwa kama huyu duniani. RIP King Of Pop
 
Back
Top Bottom