Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ishhh kwani ukiongea na rais ndo ukae wima kama muwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahIshhh kwani ukiongea na rais ndo ukae wima kama muwa?
Mwenye pesa haogopi mtu,halafu tamaduni ni tofauti mkuu.View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!
Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!
Hahahahaaa yani umepita mulemule......sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!
Ndo najiuliza hapo ni ikulu?vitambaa vya kitambo kweliHicho kitambaa kwenye sofa kitambo sana
Alikuja kurekodi nyimbo ya kuhusu mazingira.aliichezea ngorongoro na serengeti!..Hivi kumbe alifanyaga naye mazungumzo,maana stori za mtaani wanasema aliishia uwanja wa ndege
kwani marehemu akifa asemwi?wewe ukufa kesho watu hawaseni?Kakosea nini. Unawasema hadi marehemu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angemtumbua majipu yote angeenda kusimulia uko kwao kwa obamaView attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
kwani rais mungu si alitoka kwenye K kama wengine walivyotokaHuwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
heshima inaendana na status ww unavyoongea na magufuli ni tofauti na Kikwete anavyoongea na magufuliView attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!