Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Hahahaha ni hapa bongo,kule kwao urais ni ajira tu kama zingine
 
We jamaa unafikiri uduara wa dunia basi watu wapo sawa! MJ aliogopa kifo tuu! Wewe ungekakamaa ukitoka hapo ugwemgongo unakuuma huyu jamaa wamarekani ndio wanajua thamani yake!!
 
Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!
sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!
 
Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari

michael_jackson_mercedes_9.jpg
 
sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!

Kumbe wabongo kwa kutunga wameanza siku nyingi😱
 
sema pua yake ni ya kubandika alipo kuwa anashuka kwenye ndege ikataka kunyofoka akaiwahi kuishika wa bongo kwa story za kutunga hapohapo wakapata story!!
Hahahahaaa yani umepita mulemule......
Hii story sijui aliipika nani.
 
View attachment 315530
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angemtumbua majipu yote angeenda kusimulia uko kwao kwa obama
 
Hili hata mimi niliwahi sikia sana,eti wanasema alikataa sababu bongo kunanuka!

Kumbe Nifah nawe ni mtoto hivyo. Alikuja mpaka kijitonyama mabatini polisi nyuma yake kuna kituo cha watoto wenye mtindio wa akili. Na mlinzi wake mmoja aliibiwa camera moja sony nzuri sana. Weee achaaa tu.
 
Back
Top Bottom