Michael Jackson hajawai kuwa na wa kumfananisha naye

Hajamfikia Elvis Presley hata robo.

naam uje na hoja sasa boss wangu..

wote tunamjua elvis ni King of Rock na one of the greatest talents...

Lakini... Je wajua kutokana na guiness Book of records mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi kushinda wote waliowahi kuwemo chini ya jua ni MJ?

Je unafahamu tuzo ya mwanamuziki bora wa karne aliichukua MJ mbele ya elvis na wengineo?

sasa kipimo cha kumfikia elvis hebu njoo nacho hapa tuone mpambano
 
SIKU ALIVYOTANGULIA NILIKUWA SIMFAHAMU SASA MEDIA ZOTE ZIKAWA ZINUONGELEA, AISEEH NILIVYOSIKILIZA NYIMBO ZAKE MMMMH MMMMH MMMMMH MMMMH BAAASSS HADI LEO NINABENG""" NAZO ILE ILE KAMA VILE YUPO HAI YAN.HUYU JAMAA NI HATARI SANA KWA KWEL
 
.
ah ah ah lost id kweli umelost asee, MJ hakua na akili seriously,comeooon mkuu,unadhalilisha utu wako
 
sahihi kabisaa
 
.
ah ah ah lost id kweli umelost asee, MJ hakua na akili seriously,comeooon mkuu,unadhalilisha utu wako
Yeah, MJ hakua na akili ila alikua na uwezo mkubwa wa kucheza na kuimba. Ila hakua brainy kabisa.
 
Michael alianza kuonekana ana kipaji toka mdogo, hii ni show yao ya kwanza kabsa kama kundi la jackson 5 akiwa na kaka zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…