Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIPO SERIOUS NA NACHOSEMA MKUUMkuu tafadhali aisee! Hahahahahaha.
alifika akakaa na kupiga story na mwinyi ikulu,
kwenye wimbo wa Liberian girl amechomekea maneno ya kiswahili "nakupenda pia, nakutaka pia, mpenzi wee",
wimbo wa earth song kuna vipande vilichukuliwa Tanzania. Acha story za vijiweni.
Hajamfikia Elvis Presley hata robo.
Bob Marleygift from god
charlie champlin
Michael Jackson
mike tyson
ronaldinho gaucho
Umemaliza!!! pasaka njema..gift from god
charlie champlin
Michael Jackson
mike tyson
ronaldinho gaucho
Sir Isack Newtongift from god
charlie champlin
Michael Jackson
mike tyson
ronaldinho gaucho
Jesus ChristSir Isack Newton
.Ukisema alikua na kipawa cha kuimba na kucheza nakuelewa, ukisema alikua na akili sana sikuelewi, hakua na akili yoyote.
Binadam mwenye akili ya kawaida tu kwanza anaanza kujikubali alivyo, mtu asiejikubali ni kwamba ana mapungufu katika mfumo wake wa kufikiri.
Tofautisha kipaji na akili. MJ hakua na akili.
aiseee hapa naona kavaa supra
sahihi kabisaaKwa ambao tumeona kazi za Michael Jackson hasa akiwa kwenye peak miaka ya 80.. hutakaa uje uone kipya kwa mwanamuziki kama The weekend chrisbrown bila kumsahau Bruno mars..
Kuanzia video zao(Fine china ya chris brown kaiga kabisa you rock my world video, one in a million ni copy ya video ya the way you make me feel), style za kucheza na mambo mengine mengi ni replica ya Mj..
Yeah, MJ hakua na akili ila alikua na uwezo mkubwa wa kucheza na kuimba. Ila hakua brainy kabisa..
ah ah ah lost id kweli umelost asee, MJ hakua na akili seriously,comeooon mkuu,unadhalilisha utu wako