Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidChris Brown ni mtoto mdogo kwa MJ. MJ ndiye legendary wa pop wa muda wote, hawa wengine wakajifunze
DOGO WA MIAKA YA 2000s.NI KWA UMRI WAKO ITS OK. LAKINI KWA SISI MIAKA YA NYUMA HUWEZI MFANANISHA BROWN NA MJ HUWEZI KABISA DOGO. WEWE NENDA KANAWE BADO UNA HARUFU YA MAZIWA . UKIJA KUKUA UTAELEWA KUWA MJ HUWEZI MFANANISHA NA CHRIS BROWN. KWA SASA TUNAKURUHUSU UENDELEE NA MFANANISHO WAKONimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi anaweza kua bora zaidi ya Mwalimu wake nimebaki kushangaa na kusikitika tu.
Hapa siongelei kuimba naongelea kucheza na kumiliki jukwaa, alichokifanya Michael Jackson, chriss anakifanya vizuri zaidi, lakini anachokifanya chriss, MJ hawezi hata kidogo na angejaribu angevunja mifupa yoote.
Nimeangalia show ya grammy award mwaka 1995 ambayo watu wanaisifiaa nikabaki kushangaa tu, sawa alikua anajua ila muda mwingi ni "kushake " na kutikisa kichwa tu, kurudi rudi nyuma, kuvaa vinyago mixer kupiga makelele, hata mimi ukinifundisha mwezi tu najua, lakini brizzy mwamba anaruka masarakasi, bending, flip za kutosha aaaah brizzy achana nae,
Kwenye kuimba MJ ni noma zaidi ya chriss brown.
Mawazo yangu yaheshimiwe.
Mkuu mada hapa siinazungumzia uwezo wa dance au katika uhalisia MJ awezi kumshinda CBB kwa vibe lakini MJ anamshinda CB kwa ubunifu wa step za dance kama vile moon walk ectLinganisha vitu kwa ZAMA mkuu
Ni sawa na ukisema Pele hamfikii Halland kwa ubora
Ni sawa na kusema George Rouy ni painter bora kuliko Leonardo da Vinci
Mchukulie MJ wa enzi hizo na aliokua anachuana nao aliwaacha mbali kiasi gani na alikua na impact kiasi gani
Halafu mchukue Breez na anaochuana nao enzi hizi halafu angalia na impact yake
Mkuu impact ya MJ enzi hizo ilikua KUFURU, the guy was a center of entertainment news, jamaa alikua kwenye dunia yake peke yake
Yes Breez ni mzuri lakini hana maajabu yoyote kwenye enzi hizi kama aliyokua nayo MJ enzi hizo
Mkuu bado tupo pale pale...... issue hapa ni ZAMAMkuu mada hapa siinazungumzia uwezo wa dance au katika uhalisia MJ awezi kumshinda CBB kwa vibe lakini MJ anamshinda CB kwa ubunifu wa step za dance kama vile moon walk ect
Unakubaliana na mimi?
Kutikisa kisa kichwa na kurudi nyuma sio sehemu ya kudance?Sarakasi sio Sehemu ya dance mkuu?