Michael Jackson (MJ) kamwe hawezi kumfikia Chriss Brown kwenye "kudance"

DOGO WA MIAKA YA 2000s.NI KWA UMRI WAKO ITS OK. LAKINI KWA SISI MIAKA YA NYUMA HUWEZI MFANANISHA BROWN NA MJ HUWEZI KABISA DOGO. WEWE NENDA KANAWE BADO UNA HARUFU YA MAZIWA . UKIJA KUKUA UTAELEWA KUWA MJ HUWEZI MFANANISHA NA CHRIS BROWN. KWA SASA TUNAKURUHUSU UENDELEE NA MFANANISHO WAKO
 
Uhuru wa mitandao umezidi aisee. Hata kama ni uhuru wa kujieleza sio hivi sasa.
 
Hapo MJ ni mkali kwenye utengenezaji wa moves za dance kama vile moon walk ambayo inatamba mpaka sasa na ile style move ya kuinama lakini kwa upande wa CB breezy yeye ni mkali wa kucheza ana vibe lakini hana step yoyote ambayo ni yake zaidi ya kucheza step za watu kama za MJ

Kwahiyo hapo MJ ni mkali lwa kucheza lakini hamfikii CB kwa vibe lakini pia CB ni mkali wa vibe lakini hamfikii MJ kwa kubuni dance move za muda wote
 
Linganisha vitu kwa ZAMA mkuu

Ni sawa na ukisema Pele hamfikii Halland kwa ubora
Ni sawa na kusema George Rouy ni painter bora kuliko Leonardo da Vinci

Mchukulie MJ wa enzi hizo na aliokua anachuana nao aliwaacha mbali kiasi gani na alikua na impact kiasi gani
Halafu mchukue Breez na anaochuana nao enzi hizi halafu angalia na impact yake

Mkuu impact ya MJ enzi hizo ilikua KUFURU, the guy was a center of entertainment news, jamaa alikua kwenye dunia yake peke yake
Yes Breez ni mzuri lakini hana maajabu yoyote kwenye enzi hizi kama aliyokua nayo MJ enzi hizo
 
Mkuu mada hapa siinazungumzia uwezo wa dance au katika uhalisia MJ awezi kumshinda CBB kwa vibe lakini MJ anamshinda CB kwa ubunifu wa step za dance kama vile moon walk ect

Unakubaliana na mimi?
 
Mkuu mada hapa siinazungumzia uwezo wa dance au katika uhalisia MJ awezi kumshinda CBB kwa vibe lakini MJ anamshinda CB kwa ubunifu wa step za dance kama vile moon walk ect

Unakubaliana na mimi?
Mkuu bado tupo pale pale...... issue hapa ni ZAMA

Unaweza uka argue kuwa makipa jamii ya akina Onana, Diara nk wana vibe kuliko wakina Peter Shilton au David Seaman
Lakini hawa ni makipa wa zama tofauti kabisa na sio sahihi kuwapambanisha


Ukimfufua MJ na ukampa ubora wake leo hii halafu ukampandisha jukwaani ashindane kucheza na Breez ofkoz Breez atashinda kwasababu dancing now days imekua more advanced kuliko enzi za akina MJ ampapo dancing was pure out of talent sio siku hizi watu wana hadi pHd za dancing(choreography)

So ukitaka kujua MJ alikua na VIBE kiasi gani unapaswa kurudi enzi zake uone jinsi vibe lake lilivyokua linatetemesha dunia
Halafu angalia na hili vibe la Breez lina impact gani kwenye enzi hizi?

Ukitaka kujua ubora wa Shilton au Buffon rudi enzi zao bila kuanza kuangalia makipa wa kisasa wenye foot work kubwa wanachezaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…