Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani ..
Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za petrol na diesel zinafanya kazi where utakuta kitabu cha mwaka 70 huko ambavyo ndo vingi vimejaa ma library ya shule za sekondar wanaposoma vijana wetu
Utakuta wanasema petrol zinatumia carburettor na diesel inaanza ingia hewa kisha ikisha kuea compressed mafuta yatapulizwa huko
Sasa ukitumia hizo syllabus kwa sasa utakuwa unapotea mtaja bishana na watu hadi koo zikauke, sababu utaambiwa gari hazina carburettor utaendelea kubisha,
Huyo mwandisi kipindi cha leo aliulizwa kwann exhaust ikitoboka mafuta yanalika mengi akaanza tupiga chenga hapo ..namna amejibu akatetea diesel haitaishiwa nguvu sababu inaanza ingia hewa kwanza kisha ndo mafuta ila petrol ni vote kwa pamoja..
Swali inamaana mwandisi hajawah kutana hata na GDI? Hata D4 kina mark x , crown na baadh ya magari hajakutana nayo au yeye huwa anakutana na land rover za zaman kina leyland huko ndo magari yake...
Pili akaulizwa mbna racing car mufler zimetobolewa na zinakimbia sana hapo pia akaensa OP sasa huyu jamaa sielewi anafundisha ..yani me sijasomea huko ila labda naweza elezea vizuri kuliko yeye
Badae anasema et pakiwa wazi kwenye mufler kama imetoboka valve za exaust zinaweza chelewa funguka hii mbna haiingiii akilini.