sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Sema noma sana, watoto wataona live mama yao alivyojiua. Ila binafsi niliona poa tu mwamba alivyofanya, kumwacha mwanamke afanye alichokidhamiria. Huenda jamaa angerekodi anavyomzuia, angeshtakiwa tena kwa kuingilia uhuru wa mtu. Wanawake wangemchachamalia jamaa kuonesha mfumo dume😃Mzee hata kama sio kurekodi tukio zima.fikiria hao watoto wanavokua na kuona hio video unazan watamchukuliaje baba yao.je ndugu wa upande wa mke nao?