Sema noma sana, watoto wataona live mama yao alivyojiua. Ila binafsi niliona poa tu mwamba alivyofanya, kumwacha mwanamke afanye alichokidhamiria. Huenda jamaa angerekodi anavyomzuia, angeshtakiwa tena kwa kuingilia uhuru wa mtu. Wanawake wangemchachamalia jamaa kuonesha mfumo dume😃Mzee hata kama sio kurekodi tukio zima.fikiria hao watoto wanavokua na kuona hio video unazan watamchukuliaje baba yao.je ndugu wa upande wa mke nao?
Na sasa adhabu inayomkabili ni kufungwa kifungo cha maisha. Sijui watoto wataichukuliaje serikali kuwaondolea mzazi wao aliyebaki.Mzee hata kama sio kurekodi tukio zima.fikiria hao watoto wanavokua na kuona hio video unazan watamchukuliaje baba yao.je ndugu wa upande wa mke nao?
Mkuu samahani nikusahihishe ,Dj Brown skin si mfupi ...2weeks ago nilikutana naye maeneo ya mahakamani na alikua akinieleza hiko kisaWatu wafupi akili zao sijui zipogi wapi!!!
Yaani akaacha mke aliyemzalia watoto ajiue huku aki-record tukio halafu akaenda kupiga picha mbele ya kaburi lake kisha akatuma kwa mpenzi wake aliye ng'ambo?
Kwao ni kama kuna shida kidogo ya akili maana mama yake wiki iliyopita amekamatwa Uganda na madawa. Na huyo marehemu alizaa na mjaluo ndio wakaja kuzaa na Dj Brown SkinDaah nahisi hakudhani kama ange kufa ukweli maana alisema ndo tabia ya mkewe kutishia kufa
Mila na desturi za kiafrika zinamruhusu mwanamme kuoa hata wake kumi,sio mke,kwahiyo kuchepuka kwa mwanamme ni urijali sheikh!!Ila sisi tukichiti freshi tu au?