Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

Yuko mmoja wa redio moja ya kijamii alisema zaidi ya mara 3 jina la Naibu rais wa Kenya alietolewa kuwa ni William Gachagua badala ya Rigathi Gachagua. Wengi ni empty set
😂😂😂
 
Pia mchambuzi wa soka Ali Mayai aliwahi kusema Mourinho yeye hatengenezi wachezaji, yeye anasajili wachezaji ambao ni.....
already 'maded'

yaani hiyo 'maded' akimaanisha made (past participle of make)
 
Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE.

Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.

SGR ni kifupi cha maneno :-
STANDARD GAUGE RAILWAY.
Watangazaji wa siku hizi ni vilaza wakubwa.
 
Back
Top Bottom