mukarutabana
Member
- Apr 10, 2012
- 38
- 12
sipati picha jinsi madem wengi walivyokua disapointed.
Hata wakiwatambua sio mbaya labda na mimi ni moja wao utajuaje??
Regards,
Jonathan.
Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.
Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.
Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.
Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.
Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.
Pole najua a kitambooooooSiamini...!!
what.............gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
nilijua tu jamaa chakulaaaa....acha 2 imeniumaje!
Acha uongo wewe...gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
Sasa yule Michael Scofield wa JF inakuwaje naye?
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!