Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Hapo kwa red is not true!!!! Labda awe amezaliwa na homoni za kike aote matiti,hipsi n.k lakini kuna midume imezaliwa midume haswa inayoamua kuwa gay kama wavuta bangi wanavyoamua kuanza kuvuta!!

Hii kuchukulia poa na kuwapa haki maana yake tunawapa watu choice ya kuchagua regardless kama kweli kazaliwa na kilema cha aina hiyo.Lakini pia mwanaume anayeoa mwanaume mwenzake huyu nae ni naturally born? Upuuzi tu na laana!!!

Kweli mkuu jamaa anataka kutuaminisha ujinga na upumbavu mtupu
 
Kwa mawazo kama haya soon mtasikia wabunge wakija na muswada wa kuwatambua rasmi!!!!

Siyo jambo la kushangaza kwa wabunge wetu wale wa ndiyooo! Alafu baadae wakija kwa wananchi wanajitetea sijui ilipita je maana siyo maadili ya kiTz kabisa
 
Du jamaa na kipaji chote Mungu alichomjalia anashindwa kumshukuru na kuamua kumwasi kabisa yani? Dah walimwengu sasa hatumwogopi Mungu hata kwa nukta yani
 
MUIGIZAJI aliyejipatia umaarufu
katika tamthilia ya 'Prison Break'
Wentworth Miller maarufu kwa jina
la 'Michael Scolfield' ameamua
kujitangaza rasmi kuwa yeye ni
shoga.
Muigizaji huyo ameamua kuweka
wazi kitendo hicho baada ya
kupokea barua ya mwaliko wa
kuhudhuria tamasha la filamu la
kimataifa lililotarajiwa kufanyika St.
Petersburg nchini Urusi
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa
kupitia mtandao wa 'People.com'
imeweka wazi kuwa Scolfield
amekataa mwaliko huyo wa
kuitembelea nchi hiyo kutokana na
sheria zao zinazowabana wanaume
wanaojihusisha na ushoga.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa baada ya
muigizaji huyo kuipokea barua hiyo
ya mwaliko ndipo alipoamua
kuijibu kwa kuweka wazi kuwa
kitendo cha nchi hiyo kuweka
sheria ya kuwabana mashoga ndio
sababu kubwa inayompelekea
kushindwa kuhudhuria tamasha
hilo.
"Nashukuru kwa mwaliko wenu,
mimi nina asili kiasi ya Urusi
ingenipa faraja sana kuitembelea
nchi hiyo, lakini kutokana na sheria
zenu mimi nikiwa kama shoga
lazima niukatae mualiko huo"
aliandika Scolfield na kuongezea
kuwa."Ninaumiwa kwa kiasi kikubwa
na jinsi mashoga wanavyotendewa
na serikali hiyo".
Scolfield alieleza kuwa kutokana na
sheria hiyo na jinsi serikali ya nchi
hiyo inavyowachukulia mashoga
hao hawezi kushiriki kwa amani
kwenye tukio hilo lililoandaliwa na
nchi inayowanyanyasa watu kama
wao ikiwa pamoja na kuwanyima
haki yao ya msingi ya kusihi.
Mwezi June nchi hiyo ilianzisha
sheria dhidi ya ushoga iliyosainiwa
na rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
ambayo imezua mijadala ya wazi
jinsi sheria hiyo inavyokataza
wapenzi wa jinsia moja.
Wentworth ni muigizaji aliyejipatia
umaarufu kwenye tamthilia ya
Prison Break mnamo mwaka 2005
hadi 2009, ingawa ameweza
kushiriki pamoja na kuandaa filamu
nyingine tofauti tofauti ikiwemo
'Stoker'.

Source. Bongoclants.

huyu hajaongozwa na roho mtakatifu kama wenzake???
 
Pole najua a kitamboooooo

Bado upo kumbe? Wasalaam. Ulijuaje? Kuna mdada anamzimiaga huyu jamaa.

Siku moja nikamkuta anaangalia Prison Break, nikasema mbona jamaa anaonekana kama ni nanii?

Akanimwagia matusi ya kutosha. Sasa nitamvaa tena na prima facie evidence kutoka kwa Maria Roza.
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi Ushoga sio jambo geni katika masikio na macho ya wengi, tangu zama hizo za nabii Ruth, na kwa sababu ambazo Mwenyezimungu anazijua na alizitoa katika vitabu vyote vya dini kuu mbili(Uislam na Ukristo) amekataza matendo hayo na kuyaita matendo machafu kabisa na hata kufikia hatua ya kuwaangamiza wote waliofanya vitendo hivyo na waliowezesha kufanyika kwa matendo hayo, na katika hili nadhani ya kuwa hawa wanaojiita wanapigania haki za mashoga kama wangekuwa wanamuona ama alipo wangemshtaki kwa kuwaua watu wa sodoma na gomola, nami huwa nawaona wajinga tu wapumbavu na hawana maana yoyote nao pia wanastahili kuuliwa kama wale wa sodoma na gomola. Laana ya mwenyezimungu iwe juu yao wote.
 
jamani 2mrudie mungu lolote anaweza kulifanya ama ku2shushia kwa hasira kutokana na matendo maovu ya wanadamu yaliyokidhiri
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
Can you explain scientifically why we don't have gay animals?...like gay goat,gay lion, gay croc or gay chimp for that matter?Why should such abnormal genetic strain be only a human thing and not at least a mammal thing since we are mammals?......this is a satanic agenda and people in the know are very aware of this!
 
Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.

Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.

Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.

Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.

Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!
 
bado kutangazwa kwamba all usa residents are gay... Dunia imekwisha, tuombe Mungu sana atuepushe na hii laana.
 
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!

It is useless kuweka sheria kuzuia hivyo vitendo passively. Ni unafiki.

Hakuna haja ya kuwa na sheria, if you can't enforce it. Passive laws are useless.

Nimeuliza hapo juu si kuna sheria dhidi ya vitendo vya ushoga?

Lakini pamoja na hiyo sheria mbona ushoja umeenea kona zote za nchi?

Because of passive laws, isn't it?
 
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!

Umetumia lugha ambayo nadhani EMT atakuelewa zaidi.Sheria kuwepo haina maana haitavunjwa.Nadhani kama tunavyopenda kukopi sera za wazungu basi tukopi hii sheria ya Russia.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tatizo la mtu kuwa gay labda kwa nyie wanafiki tuu.
 
Don't be too much concerned with what someone does privately in his room with anyone, as long as both are sane, consenting adults. Jamani sisi watanzania tuna matatizo mengi sana ya kuweza kutufanya tuwe busy...............why are we too much obsessed with others' private lives????
 
Ndo maana alikua hawez kupiga risasi.... Star wangu atakua fernando...
 
Back
Top Bottom