Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.

Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.

Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.

Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.

Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.

Siamini...!!
Pole najua a kitamboooooo
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
what.............
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
Acha uongo wewe...
 
True ni punga kama mapunga wengine,na wale wote wanaomsapoti pia mapunga.
 
Kwa wazungu gay ni mtu anayetafuna na anayetafunwa wote hawa ni "mashoga", sasa sijui huyu nae anatafunwa au anatafuna!
 
nimesikitika aisee,ila nakumbuka kuna kipindi alikataaga huyo eti yeye sio shoga kumbe
 
Mahanjam,
If that is the case mbona hakuna maelezo yoyote ya kuumbwa kwao ktk vitabu vya imani yoyote ile? Wangetengewa na vyoo vyao ktk public places/buildings. Kwa uelewa wangu mdogo jinsia ni mbili tu hiyo ya tatu ni ya kulazimisha tu haipo. Na tusipo simama kidete kukemea upuuzi huu .... watambueni na wabakaji, majambazi n.k wote ni binadamu na wamezaliwa hivyo!



Usichanganye "sexual preference" na "gender". Kuwa gay ni sexual preference sio jinsia. Kwenye biblia (sifahamu
kuhusu Quran) imezungumzia ushoga kwa hiyo inatambua kuwapo kwa watu wa aina hiyo.
 
Hawa jamaa huwa wana mipango ya uhakika sana,ipo cku mtaambiwa george bush nae ni shoga,jamaa wanawaweka watu maarufu wajitangaze ili wajinga wa kiafrica waone fahari. Ndo maana mashoga wanazidi kuongezeka kila kukicha! Huu ni ukoloni mwingine.
 
Mungu wangu!!!! Au anataka kuleta changamoto tu? Can't believe!

Wentworth Miller is not staying silent.

The "Prison Break" star, 41, has revealed that he's gay as an indirect response to Russia's anti-gay laws.
Russia passed a law last month that prohibits the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear it.

In June, the country adopted a law that bars the adoption of Russian children by same-sex couples and couples who reside in a country that has
LGBT acceptance policies.

When Miller was invited to be guest of honor at the upcoming St. Petersburg International Film Festival, he wrote a letter, which was posted on the GLAAD website, explaining exactly why he wouldn'tattend.

"Thank you for your kind invitation," he began his letter to the festival's director, Maria Averbakh. "As someone who has enjoyed visiting Russia in the past and can also claim a degree of Russian ancestry, it would make me happy to say yes. However, as a gay man, I must decline.

"I am deeply troubled by the current attitude toward and treatment of gay men and women by the Russian government,"he continued. "The situation is in no way acceptable, and I cannot in good conscience participate in a celebratory occasion hosted by a country where people like myself are being systematically denied their basic right to live and love openly. Perhaps, when and if circumstances improve, I'll be free to make a different choice."

Brad Pitt, Angelina Jolie, Miley Cyrus, and other big names in Hollywood have long championed LGBT rights stateside. Do you think they'll continue to travel to the country to promote their projects?[/QUOTE]
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!

If their naturaly born why now days they are many compared to previous years?
 
Back
Top Bottom