Hapo kwa red is not true!!!! Labda awe amezaliwa na homoni za kike aote matiti,hipsi n.k lakini kuna midume imezaliwa midume haswa inayoamua kuwa gay kama wavuta bangi wanavyoamua kuanza kuvuta!!
Hii kuchukulia poa na kuwapa haki maana yake tunawapa watu choice ya kuchagua regardless kama kweli kazaliwa na kilema cha aina hiyo.Lakini pia mwanaume anayeoa mwanaume mwenzake huyu nae ni naturally born? Upuuzi tu na laana!!!
Sasa yule Michael Scofield wa JF inakuwaje naye?
Kwa mawazo kama haya soon mtasikia wabunge wakija na muswada wa kuwatambua rasmi!!!!
MUIGIZAJI aliyejipatia umaarufu
katika tamthilia ya 'Prison Break'
Wentworth Miller maarufu kwa jina
la 'Michael Scolfield' ameamua
kujitangaza rasmi kuwa yeye ni
shoga.
Muigizaji huyo ameamua kuweka
wazi kitendo hicho baada ya
kupokea barua ya mwaliko wa
kuhudhuria tamasha la filamu la
kimataifa lililotarajiwa kufanyika St.
Petersburg nchini Urusi
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa
kupitia mtandao wa 'People.com'
imeweka wazi kuwa Scolfield
amekataa mwaliko huyo wa
kuitembelea nchi hiyo kutokana na
sheria zao zinazowabana wanaume
wanaojihusisha na ushoga.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa baada ya
muigizaji huyo kuipokea barua hiyo
ya mwaliko ndipo alipoamua
kuijibu kwa kuweka wazi kuwa
kitendo cha nchi hiyo kuweka
sheria ya kuwabana mashoga ndio
sababu kubwa inayompelekea
kushindwa kuhudhuria tamasha
hilo.
"Nashukuru kwa mwaliko wenu,
mimi nina asili kiasi ya Urusi
ingenipa faraja sana kuitembelea
nchi hiyo, lakini kutokana na sheria
zenu mimi nikiwa kama shoga
lazima niukatae mualiko huo"
aliandika Scolfield na kuongezea
kuwa."Ninaumiwa kwa kiasi kikubwa
na jinsi mashoga wanavyotendewa
na serikali hiyo".
Scolfield alieleza kuwa kutokana na
sheria hiyo na jinsi serikali ya nchi
hiyo inavyowachukulia mashoga
hao hawezi kushiriki kwa amani
kwenye tukio hilo lililoandaliwa na
nchi inayowanyanyasa watu kama
wao ikiwa pamoja na kuwanyima
haki yao ya msingi ya kusihi.
Mwezi June nchi hiyo ilianzisha
sheria dhidi ya ushoga iliyosainiwa
na rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
ambayo imezua mijadala ya wazi
jinsi sheria hiyo inavyokataza
wapenzi wa jinsia moja.
Wentworth ni muigizaji aliyejipatia
umaarufu kwenye tamthilia ya
Prison Break mnamo mwaka 2005
hadi 2009, ingawa ameweza
kushiriki pamoja na kuandaa filamu
nyingine tofauti tofauti ikiwemo
'Stoker'.
Source. Bongoclants.
Pole najua a kitamboooooo
Can you explain scientifically why we don't have gay animals?...like gay goat,gay lion, gay croc or gay chimp for that matter?Why should such abnormal genetic strain be only a human thing and not at least a mammal thing since we are mammals?......this is a satanic agenda and people in the know are very aware of this!gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.
Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.
Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.
Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.
Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.
CC "Michael Scofield" aka Yo Yo
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!
I like your view point lakini kutokuweka sheria huoni kwamba ni kuruhusu "passively" haya mambo?Hata Mungu ktk vitabu vyake kakataza haya mambo lakini watu wanafanya bado na kuweka sheria kunaonyesha kwanza kutokubaliana na haya mambo(hata kama yatafanywa na watu mafichoni) lakini pili ni kuwa na social guidline moral stand kama jamii!