Kumbe ndo maana sijawahi kuvutiwa na Series ya Prison Break..
My instinct is damn perfect...
na jinsi alivyo handsome inasikitisha
Huyu wa prisión break jamani?alivyo handsome mbona ana nguvu tú alikua akimshughulkia Dr Sarrah vizur tú kakumbwa na shetan gan tena?lolz......