Michael Scofield exposes his boyfriend

Michael Scofield exposes his boyfriend

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya kujitangaza kuwa yeye ni shoga, Michael Scofield aamua kumuonyesha boyfriend wake wa siku nyingi

attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • 1391444901003.jpg
    1391444901003.jpg
    16.4 KB · Views: 4,673
  • 1391444931002.jpg
    1391444931002.jpg
    14.1 KB · Views: 4,311
Nimekosa hata ham ya kurudia au kuangalia preason break tangu nisikie jamaa bwabwa
 
Na hao ndio wanaoitwa vioo vya jamii!jamii watch out!
 
Hahaaaa,kuna yule mwanamuziki anayejiita Michael Scolfid wa bongo..Siku hizi simsikii na a.k.a yake hiyo..(Mwana F.A)

"Nlikuwepo":bolt:
 
Nishafuta na sitaki zisikia. Bora ameamua kuwa mkweli baada ya kumalizika
 
Huyu wa prisión break jamani?alivyo handsome mbona ana nguvu tú alikua akimshughulkia Dr Sarrah vizur tú kakumbwa na shetan gan tena?lolz......
 
Huyu wa prisión break jamani?alivyo handsome mbona ana nguvu tú alikua akimshughulkia Dr Sarrah vizur tú kakumbwa na shetan gan tena?lolz......

Hakuna sehemu scofield kaonyeshwa ana mkita sarah zaid zaid ni romance tu,ingekua sucre au mjomba tbag ndo yuko na sara mbona ingekua sana tuuu!!
 
Back
Top Bottom