Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 860
- 544
na jinsi alivyo handsome inasikitisha
Acha tu
Yani mm roho inaniuma kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na jinsi alivyo handsome inasikitisha
Nimekosa hata ham ya kurudia au kuangalia preason break tangu nisikie jamaa bwabwa
Hivi hii tabia chanzo chake nini ?
Ni kitu gani mwanume anakikosa kutoka kwa mwanamke hata aone bora amtamani mwanaume mwenzake na kuwa mahusiano naye?
Sasa na hawa wakwetu wakianza kujitangaza si ndio utazimia! Wewe usione madume wananyoa nyusi halafu ukadhani ni bahati mbaya. Na siku ukimjua anayemparamia mtu kama JB, ni kajamaa ambako hakajai hata mkononi, ndio Utakufa kabisa.
Unataka kusema JB ni shoga?
Huyu Michael mwenyewe sijaona source aliyothibtisha kua yeye ni gay au Iyo picha akiongozana na mwanaume.mwenzie ndio ashakua shoga...hmm
mbona hii habari ya jamaa kuwa shoga ya siki nyingi na alijitangaza mwenyewe .
source hii soma
Iâm gay, says Prison Break star Wentworth Miller | The Sun |Showbiz
Hivi hii tabia chanzo chake nini ?
Ni kitu gani mwanume anakikosa kutoka kwa mwanamke hata aone bora amtamani mwanaume mwenzake na kuwa mahusiano naye?
Ukijua na hao wengine utabaki kuishia kuangalia comedy tu..