Hapana huwezi ukakuta watu wa Rika zote na maeneo yote wamekaa wanajadili habari za CDM, lakini ukienda kwa wakulima utawakuta wakulima wanajadili habari za CCM juu ya kuwawezesha kupata mbolea za Ruzuku, ukienda kwa vijana utakuta wanaizungumza CCM kuwasaidia kupata ajira na mikopo ya riba nafuu kupitia halmashauri, ukienda kwabodaboda utakuta wanajadili CCM kwa namna inavyowasaidia na kuwapunguzia kero ya kubuguziwa na Askari na Sasa asikari Ni rafiki zao, ukienda kwa wafanyabiashara utakuta wanaijadiri CCM kwa namna ilivyo wapunguzia kero, ukienda kwa machinga,mama ntilie, wanafunzi wa vyuo, wazee wote Wana Iman kubwa Sana na CCM hii imara chini ya mama Samia suluhu Hassani