Michakato ya kidemokrasia inachelewesha sana mambo

nduguyo hanyongwi kwa watu kusema,ni mpaka awe amefanya kosa linalotaka anyongwe.
sasa nikuulize wewe,una mchango gani mahakamani kwenye kesi ya kunyongwa nduguyo kupitia hiyo democrasia???maana democrasia ni sauti ya wengi.

idadi ya watu
USA=300mln uchumi $19 tril
CHINA=1.7 bln uchumi $12 tril
TZ =60mln uchumi $60mil
 
Una maarifa kidogo sana.

Limited knowledge.

Unaielewa bahari na sio tone la maji ndiyo shida hiyo.
 
Una maarifa kidogo sana.

Limited knowledge.

Unaielewa bahari na sio tone la maji ndiyo shida hiyo.
hii ni jamii forums sio facebook,huruhusiwi kuandika andika unachojisikia.

lazima kiwe ni facts na kimezingatia umri timamu kwa wasomaji.

angalia hapa unashambulia mwandishi na hoja zake umeziacha mbali kwa uzito wake.
 
CHINA WANA DEMOKRASIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…