mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
nduguyo hanyongwi kwa watu kusema,ni mpaka awe amefanya kosa linalotaka anyongwe.Leo wakisema ndugu yako anyongwe bila kujitetea, anyongwe?
Wakisema wachukue fedha kwenye account yako wajenge reli, wachukue?
Wakisema uende kuchimba mtaro hela utakayopata uchangie mshahara wa Diwani, uende?
Waje wakuhunguze kwako na mkeo usiku, waje?
Huelewi kitu kaa kimya.
Pato la mtu china ni $11,713
US pato la mtu ni $66,144
Tanzania ni $1,132
sasa nikuulize wewe,una mchango gani mahakamani kwenye kesi ya kunyongwa nduguyo kupitia hiyo democrasia???maana democrasia ni sauti ya wengi.
idadi ya watu
USA=300mln uchumi $19 tril
CHINA=1.7 bln uchumi $12 tril
TZ =60mln uchumi $60mil