Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Sep 20, 2023 #121 Utapeli mkubwa kuwahi kutokea ni michango ya harusi ... Walioanzisha walaaniwe huko kazini watu kutwa kuoa na kuomba michango ni ujinga.
Utapeli mkubwa kuwahi kutokea ni michango ya harusi ... Walioanzisha walaaniwe huko kazini watu kutwa kuoa na kuomba michango ni ujinga.