Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Nina jirani yangu alikuwa akiishi uchumba sugu na nyumba yake imejengwa bila finishing kahamia kitambo,kaamua kubariki ndoa baada ya harusi kuisha huwezi kuitambua Tena Ile nyumba Hadi kazungushia ukuta na rangi keshapaka na geti la kibabe!Hatari Sana