Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwe unatoa kidogo ili usilale NjaaUnaweza ukalala njaa kisa mchango
Kilichopo ni kidogo nikigawa nabaki sina kituuwe unatoa kidogo ili usilale Njaa
Ukiwa na roho ya huruma pesa itaishia kwenye michango. Uzuri mimi sina marafiki wengi sijichanganyi na watu kivile so sipati kadi mara kwa mara. Naishia kuchangia ndugu tena naangalia ukaribu wao na mimi.Hahhaha mwenza natamani ningekuwa na hii roho yako
Roho ya huruma ndio zinatuponza kwakweliUkiwa na roho ya huruma pesa itaishia kwenye michango. Uzuri mimi sina marafiki wengi sijichanganyi na watu kivile so sipati kadi mara kwa mara. Naishia kuchangia ndugu tena naangalia ukaribu wao na mimi.
Hakuna sababu ya mchango wa harusi na hakuna sababu ya kuwa na harusi ya kujionesha.Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojà. Hivyo nahitaji milioni Moja mpàka end of May kukidhi michango hiyo.
Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili:
Je tunawezaje kufanya harusi zetu bila michango mikubwa au harusi bila michango?
True, matrimonial issue in Islam have been simplified to affordable liquidity! Sasa katikà jumuiya ya "kikristo" utafiti vipi Kama hujawaalika and therefore michango? Si vizuri katika social life kuwa outlier . Ningelipendabkuja kwenu kwanhili kusema kweli, lakini macho ya society [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hakuna sababu ya mchango wa harusi na hakuna sababu ya kuwa na harusi ya kujionesha.
Uislaam raha sana, bwana na bibi harusi, walii wa bibi harusi, muozeshaji anaekubalika kisheria na mashahidi wawili. Kwisha kazi.
Michango ya harusi ni utapeli tu. Sijawahikutoa mchango wa harusi na wala sijawahi kuchangisha mchango wa harusi. Hata wanangu wali[ooa na kuolewa walijitegemea wenyewe.
Kwenye harusi ninachofanya sana sana ni kuwapa zawadi bwana na bibi harusi, tena baada ya harusi kama miezi mitatu ipite.
WAVAA KOBAZI?Hapa ndipo napowapendea wale wenzetu wa upande wa pili
Inamaana close friends zako wote ni mabachelor, naanisha ndio wanataka kuoaAll are close friends. Si unajua kuna "significant others"..... Lakini tunawezaje kuacha kchanga hizi hela bila kuua mahusiano? Mtihani huu umekuwa mgumu kwangu!
Mparee, haya mambo hayaendi hivyo. Mtoto huwa anaozeshwa na baba, mama. Hata akiwa na hela, baba ndiye anahusika na mila zetu zote with regard to marriage proceedings. Hivyo wazee wenzangu wana wana wao wanaolewa/wanaoa wanaomba mchango. Nadhani umenipata.......a kama unachanganyikana na watu matokeo ndiyo hayo kadi nyingiInamaana close friends zako wote ni mabachelor, naanisha ndio wanataka kuoa
You just go with the rhythm kwa sababu wanaoa once, namaanisha baadae utakuwa hudaiwi tena
Ie; Wasio taka makubwa hutayarisha harusi ndogo na kiasi kikubwa hushiriki wenyewe ILA huku Afrika bado sana. Unamchangia mtu laki ya Harusi au ya Msiba ila tukiombwa elf hamsini kwa ajili ya matibabu au Ada ya shule hatutoi. Some how urafiki wetu ni wa Kinafiki au wakujionesha kwa watu na ndio sababu mtu mtoaji wa sherehe anakuwa na marafiki wengi kila mmoja akitegemea kitu siku moja
Tent moja kwenye baraza, spika moja na maandazi na chai ya rangi. Vazi ni dela na kanzu, tena ya mitumba toka Tangamano gulio.....sherehe kubwa usiombe.... ni marafiki zangu sana naona very simple harusi among them. Hiace moja na costa moja. Huwa napenda sana simplicity yaoHapa ndipo napowapendea wale wenzetu wa upande wa pili
mahusiano na jamii inayokuzunguka ya kikristo.....Hakuna sababu ya mchango wa harusi na hakuna sababu ya kuwa na harusi ya kujionesha.
Uislaam raha sana, bwana na bibi harusi, walii wa bibi harusi, muozeshaji anaekubalika kisheria na mashahidi wawili. Kwisha kazi.
Michango ya harusi ni utapeli tu. Sijawahikutoa mchango wa harusi na wala sijawahi kuchangisha mchango wa harusi. Hata wanangu wali[ooa na kuolewa walijitegemea wenyewe.
Kwenye harusi ninachofanya sana sana ni kuwapa zawadi bwana na bibi harusi, tena baada ya harusi kama miezi mitatu ipite.
yes usipokuwa machoUnaweza ukalala njaa kisa mchango
Weka ushahidi wa biblia kuwa mmeamrishwa mchangiane harusi ili kujenga uhusiano na jamii iliyowazunguka. Hata kanisa lenyewe haliwasaidii chochote kwenye harusi zenu bali nyinyi ndio mnatakiwa mlipie huduma za kanisa. Usilete porojo ukifikiri hatuujuwi Ukristo.mahusiano na jamii inayokuzunguka ya kikristo.....
wapi nimesema ni ukristo ndiyo maagizo? wapi? Nimesema unaish katika jumuiya ya kkristo by 90% utakwendaje kinyume na wanachofanya as a social being? Kwaheri!Weka ushahidi wa biblia kuwa mmeamrishwa mchangiane harusi ili kujenga uhusiano na jamii iliyowazunguka. Hata kanisa lenyewe haliwasaidii chochote kwenye harusi zenu bali nyinyi ndio mnatakiwa mlipie huduma za kanisa. Usilete porojo ukifikiri hatuujuwi Ukristo.
Labda useme hayo ni mazowea ya baadhi ya Wakristo lakini siyo mafundisho ya "Kikristo". Usiseme uongo.
Nje ya hapo inakuwa ni porojo zako binafsi tu.
Sio ukristo umesema "Kikristo", kajisome upya au hata unayoandika unakurupuka tu?Au Kiswahili kinakupiga changa?wapi nimesema ni ukristo ndiyo maagizo? wapi? Nimesema unaish katika jumuiya ya kkristo by 90% utakwendaje kinyume na wanachofanya as a social being? Kwaheri!
UangaaSitasahau kuna siku nilikuwa nimelewa kwenye kikao nikaahidi kutatua changamoto zote.
Hata ukumbi waliopendekeza nikasema haufai, nikapendekeza wa bei ya juu zaidi watu makofi wa wa wa wa wa!
hapa hua wanaupiga mwingi sanaHapa ndipo napowapendea wale wenzetu wa upande wa pili