Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chakeNdugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza.
Nimeona ni vyema basi ili rais wetu asiendelee kudhalilika, changia chochote ulichonacho tukakikabidhi ikulu kwa ndugu yetu Salva Rweyemamu, wafanye mpango wa kumnunulia rais wetu suti. Lakini pia tutamuomba Salva awe anatujulisha pale ambapo rais anahitaji kitu fulani ili tuwe tunamnunulia.
Nitashukuru kama mtaniunga mkono, mtachangia kwa tigo-pesa na m-pesa kwa account nitakazotoa baadae. Asanteni na Mungu awabariki.
Mkuu anajulikana kama rais wa Tanzania, popote pale utakapoenda ukisema mimi mtanzania watakwambia rais wako ni JK iwe unamtambua au la, so kama u mtanzania please tangazo linakuhusu, labda uukane uraia wako.Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chake
Nadhani mimi halinihusu maana siku Jairo aliporudishwa kazini kwa mbwembwe niliukana kabisa uraia wa Tz na kwa sasa hivi naishi kama mkimbizi katika nchi hii. Sina mpango tena wa kuomba uraia hadi hapo magamba yatakapoachia uongozi wa nchi.Mkuu anajulikana kama rais wa Tanzania, popote pale utakapoenda ukisema mimi mtanzania watakwambia rais wako ni JK iwe unamtambua au la, so kama u mtanzania please tangazo linakuhusu, labda uukane uraia wako.
Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chake