Michango ya kumnunulia suti Rais wetu asiendelee kudhalilika

Michango ya kumnunulia suti Rais wetu asiendelee kudhalilika

Status
Not open for further replies.
Kama aliununua u president...ataendeelea na laana ile ile kupewa hata suti unauza nchi na maliasili zetu zoote!ole wake awatose waliohonga hadi yeye akawa rais mwaka 2005...maana hawatamuacha salama!!anamtuma mtoto wake ajibu mashambulizi ila hatabakia salama!mbinu zoote wanazijua na watageukana!kama yeye anategemea RO amsaidie ajue kuwa TISS wameshagawanyika kufuata makundi ya urais wa mwaka 2015!maana wanajua JK akimaliza term yake hana lake na hakuna ataemsikiliza tena na RO atakuwa ameshastaafu!!watakuwa Royal kwa pres aliepo!watavujisha mambo yake yoote!Temeke huko visa kibao .....wanawake kila mtaa..na Mwandishi alie........mwananchi wanasubiri muda tu!ni hatari!mikataba 19 duu ndio story itauza sana!!naomba niwepo tu mwaka 2016 Jan hivi series ianze
 
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza.

Nimeona ni vyema basi ili rais wetu asiendelee kudhalilika, changia chochote ulichonacho tukakikabidhi ikulu kwa ndugu yetu Salva Rweyemamu, wafanye mpango wa kumnunulia rais wetu suti. Lakini pia tutamuomba Salva awe anatujulisha pale ambapo rais anahitaji kitu fulani ili tuwe tunamnunulia.

Nitashukuru kama mtaniunga mkono, mtachangia kwa tigo-pesa na m-pesa kwa account nitakazotoa baadae. Asanteni na Mungu awabariki.

Rais wetu na mwenyekiti wetu hapa ni Baba V...rekebisha hapo kidogo
 
Last edited by a moderator:
kwani zile pesa za ile biznez yake anazipeleka wapi???? Hao wanaomnunulia suti kuna namna .....jicho la samaki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom