Michango ya rambirambi ya ajali ya ndege team ya Chapecoense.

ahahahahahahaa nimewaza2 hawa wezi wa kwetu wasije wakatufungulia account MFUKO WA MAAFA Chapecoense
 
[quote uid=87723 name="MPALESTINA MWEUSI" post=18693932]Duh, hizo Pesa ni kuchangia wahanga tu, kwanini hizo Pesa wasizielekeze kwa watu maskini wote maana ni nyingi sana
<br />Una undugu na JPM?


Mpaka sasa tu imeshakaribia euro 390 million sawa Na wastani wa Tsh Trillion moja, hivi kweli hizo unawapa watu 70 tu, is it fair tuwe realistic[/QUOTE]
yaani ni wastani wa zaidi ya Billions 15 za kitanzania kwa kila familimia maana familia zipo 70
Lakini kifo ni kifo tu bado pengo lake ni kubwa kwenye familia
 
Kama namuona Maharage ......................vipi miundombinu?
 
Mzee Wenger
The best 'mchumi' katika ulimwengu wa soka.

Ziende direct kwa wahanga (timu /families), siyo kujengea miundo mbinu ya FIFA

KADA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mmoja alifia Hospital, wamepona wachezaji wawili, Kipa na Beki hafu waliopona walikaa seat za jirani!
Hawa waliopona , wanakuwa traumatized sana , kudigest kilichotokea itawasumbua mno kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…