Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Labda zitajenga na kuboresha miundombinu ya BrazilDuh, hizo Pesa ni kuchangia wahanga tu, kwanini hizo Pesa wasizielekeze kwa watu maskini wote maana ni nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda zitajenga na kuboresha miundombinu ya BrazilDuh, hizo Pesa ni kuchangia wahanga tu, kwanini hizo Pesa wasizielekeze kwa watu maskini wote maana ni nyingi sana
bukoba kuna ninitungewastua na ishu ya bukoba hawa wadau
le tetemekoz u knowbukoba kuna nini
ahahahahahahaa nimewaza2 hawa wezi wa kwetu wasije wakatufungulia account MFUKO WA MAAFA ChapecoenseKUTOKANA NA KUGUSWA NA AJALI YA WACHEZAJI KUFARIKI DUNIA BAADHI YA WATU NA TEAM. WAMETOA MICHANGO YAO KWAAJILI YA FAMILIA NA TEAM YAO
CHELSEA have informed FIFA that they will donate €80M to Chapecoense
CLASS: State Radio reports PSG have informed FIFA that they will donate €40 million to Chapecoense.
Unbelievable gesture. [emoji122] SPORF on Twitter
manchester UnitedOfficial have informed FIFA that they will donate €89M to Chapecoense
@FC Barcelonaofficial have informed FIFA that they will donate €160M to Chapecoense
@ArsenalOfficial have informed FIFA that they will donate €4M to Chapecoense
3€ million na si 3$ millionRonaldo 3 million dollar =arsenal club
Lini na saa ngapi maana sijaona popote pale alipochangia hizo hela
<br />Una undugu na JPM?[quote uid=87723 name="MPALESTINA MWEUSI" post=18693932]Duh, hizo Pesa ni kuchangia wahanga tu, kwanini hizo Pesa wasizielekeze kwa watu maskini wote maana ni nyingi sana
Mmoja alifia Hospital, wamepona wachezaji wawili, Kipa na Beki hafu waliopona walikaa seat za jirani!Wamepona watatu wachezaji na wengne watatu abiria wa kawaidaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mzee Wenger
The best 'mchumi' katika ulimwengu wa soka.
Ziende direct kwa wahanga (timu /families), siyo kujengea miundo mbinu ya FIFA
KADA
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] kama ni mpare huyu atakuwa early 45'sMzee Wenger
The best 'mchumi' katika ulimwengu wa soka.
Ziende direct kwa wahanga (timu /families), siyo kujengea miundo mbinu ya FIFA
KADA
weeeh! zingepindishwa kuelekea chattle nahisi hunijui wewe.tungewastua na ishu ya bukoba hawa wadau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Arsenal mungu anawaona na hii laana hamtakaa mbebe UEFA kamwe
Unajua tofauti ya euro na dola?Ronaldo 3 million dollar =arsenal club
Hawa waliopona , wanakuwa traumatized sana , kudigest kilichotokea itawasumbua mno kisaikolojiaMmoja alifia Hospital, wamepona wachezaji wawili, Kipa na Beki hafu waliopona walikaa seat za jirani!
chattle in the mapweeeh! zingepindishwa kuelekea chattle nahisi hunijui wewe.
Tena naomba usinijaribu[emoji23] [emoji12]
Sure! Maisha yao yote.Hawa waliopona , wanakuwa traumatized sana , kudigest kilichotokea itawasumbua mno kisaikolojia