Michango ya rambirambi ya ajali ya ndege team ya Chapecoense.

<br />Una undugu na JPM?

Mpaka sasa tu imeshakaribia euro 390 million sawa Na wastani wa Tsh Trillion moja, hivi kweli hizo unawapa watu 70 tu, is it fair tuwe realistic
yaani ni wastani wa zaidi ya Billions 15 za kitanzania kwa kila familimia maana familia zipo 70
Lakini kifo ni kifo tu bado pengo lake ni kubwa kwenye familia[/QUOTE]
Daaah, bil 15 na wewe uliyekufa, yan pengo lako litakuwa limezibika vizuri sana yan, mpk zege tumeweka. Usilete utan mkuu eti pengo halijazibika kwa pesa kama hyo...!!! Yawezekana ulikuw muhuni tu, ila Mungu kakujalia kipaji cha soka. Yan hpo PENGO LIMEZIBIKA mkuu.
 
<br />Una undugu na JPM?

Mpaka sasa tu imeshakaribia euro 390 million sawa Na wastani wa Tsh Trillion moja, hivi kweli hizo unawapa watu 70 tu, is it fair tuwe realistic
yaani ni wastani wa zaidi ya Billions 15 za kitanzania kwa kila familimia maana familia zipo 70
Lakini kifo ni kifo tu bado pengo lake ni kubwa kwenye familia[/QUOTE]
Mkuu, kwa bil 15 tusidanganyane, pengo lako litakuwa limezibika vizur sana. Usitutanie.
 
Tusije kusikia kuwa hiyo pesa imepangiwa matuzi mengine kuimarisha miundombinu!
 
KUTOKANA NA KUGUSWA NA AJALI YA WACHEZAJI KUFARIKI DUNIA BAADHI YA WATU NA TEAM. WAMETOA MICHANGO YAO KWAAJILI YA FAMILIA NA TEAM YAO

CHELSEA have informed FIFA that they will donate €80M to Chapecoense

CLASS: State Radio reports PSG have informed FIFA that they will donate €40 million to Chapecoense.

Unbelievable gesture. [emoji122] SPORF on Twitter

manchester UnitedOfficial have informed FIFA that they will donate €89M to Chapecoense

@FC Barcelonaofficial have informed FIFA that they will donate €160M to Chapecoense

@ArsenalOfficial have informed FIFA that they will donate €4M to Chapecoense
Wasipokuwa macho hazitawafikia kama wale wa Rageka
 
@FC Manchester cityofficial have informed FIFA that they will donate €390M to Chapecoense

Arsenal fc has informed FIFA and the Brazil Football Association that they will donate £67million to Chapecoense and the families of the victims
 
Mzee Wenger anapenda sana 4.

@YoungAfricaofficial have informed FIFA that they will donate €7M to Chapecoense.
 
Wenger kashinda kombe la Ubahili

Pesa zimeelekezwa kwenye miundombinu iliyoharibiwa milimani
 
KUTOKANA NA KUGUSWA NA AJALI YA WACHEZAJI KUFARIKI DUNIA BAADHI YA WATU NA TEAM. WAMETOA MICHANGO YAO KWAAJILI YA FAMILIA NA TEAM YAO

CHELSEA have informed FIFA that they will donate €80M to Chapecoense

CLASS: State Radio reports PSG have informed FIFA that they will donate €40 million to Chapecoense.

Unbelievable gesture. [emoji122] SPORF on Twitter

manchester UnitedOfficial have informed FIFA that they will donate €89M to Chapecoense

@FC Barcelonaofficial have informed FIFA that they will donate €160M to Chapecoense

@ArsenalOfficial have informed FIFA that they will donate €4M to Chapecoense
Ndio maana siishi kumkubali Wenger
 
Hofu yangu isijekwenda kwenye miundombinu ya FIFA kama zile za bukoba zilivyoelekezwa kwenye miundombinu ya serikali tena baada yakuibwa zaidi ya nusu.
 
Kuweni makini na source ya Arsenal.... The Gunners hawako na twitter handle ya aina hiyo.....
 
Kila nikisikia rambirambi mahali, nakumbuka zile za kagera na sintofahamu yake.
 
Brazili kiuchumi wako vizuri sana sio wa kubeza wale wanapiga fimbo nchi nyingi sana za ulaya, wana uchumi mkubwa sana tena mno
 
Waliochangia wana uhakika miundombinu ya huko haikuharibiwa na hiyo ajali?
 
Back
Top Bottom