Michango ya Tone Tone inapaswa kuongezwa nguvu ili kuhudumia Majeruhi

Michango ya Tone Tone inapaswa kuongezwa nguvu ili kuhudumia Majeruhi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.

Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima

Screenshot_2025-04-24-19-22-15-1.png

Kutoa ni Moyo
 
Ndio malengo yenu ya kitapeli mmenoa mkaumize watu mfanye michango Mariah sarungi mpaka ahakikishe chama kimekufa fii..
Shetani hana Rafiki, huyo Dadaako kuolewa na kiongozi wa ccm haiwezi kuwa kinga, Muulize Makamba, Kinana na Nape, Pamoja na kumwingiza Jiwe Madarakani lakini alituma Wahuni wawadukue na kuwadhalilisha, wewe ni dagaa mdogo mno!
 
Kapuku hatakiwi kuchanga
Kweli kabisa ndio maana Kapuku Lissu HAJAWAHI kuchangia hata shilingi kwenye michango yoyote ya Chadema tangu aletwe na Mbowe na ushahidi upo! Sana sana yeye huomba achangiwe na ushahidi hata siku anakamatwa na Vijana Mahiri wa Jeshi la Polisi alikuwa ameahika bakuli anachangisha hela kutoka kwa wananchi anaowaita maskini! Ahahahahaha!!
 
Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.

Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima

View attachment 3314565

Kutoa ni Moyo
labda lema atolewe kama msimamizi na muhamasishaji wa hii kitu. Wanachadema hawamuamini hata kidogo kila moja ana mashaka hata na alichokitoa kama kimefika HQ licha ya kuthibitishwa kua pesa yake imekatwa🐒
 
badala ya lema uwekwe wewe basi

#NoReformsNoElection
 
Majeruhi wameshajihudumia wanaenda nyumbani kujiuguza miguu na mikono waliyovunjwa
 
badala ya lema uwekwe wewe basi

#NoReformsNoElection
Gentleman,
ni vizuri awekwe Sigrada Mligo yule binti wa njombe, alietembezewa kipigo cha mbwa koko na mlinzi binafsi wa Heche, huku heche mwenyewe akishuhudia na kufurahia kipigo kile 🐒
 
Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.

Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima

View attachment 3314565

Kutoa ni Moyo
😁😁😁😁😂😂😂😂 Ila nyie Chadomo mtanivunja mbavu.

Sheria Hazina Cha chawa Wala mwaaharakati muulize Mwijaku,usipotii zinakumala 👇👇

View: https://x.com/maendeleoyajami/status/1915497600477708320?t=iijU406PSGCg_1DD0vY1dQ&s=19
 
Sawa tutachangia ila next time na ww uwepo ground sio kukesha JF tu utokee field kama leo ukikwenda Kisutu?
 
Back
Top Bottom