Siku yako haiko mbaliManatuma watu waulize ili mchngiwe Km namuona lema anavyofurahia
USSR
Mungu akuzidishieNI kweli kabisa tonetone ni muhimu sana.
Nimeweka tone langu tayari ijapokuwa na malipo ya kujirudia nimeweka
Unalazima ya kunijibu...Siyo lazima ucomment
Haina tofauti na Mbowe kumuingiza lissu chadema akamgeuka....endeleeni kumchangia mke mdogo wa lissu mariah sarungi akiue chama....Shetani hana Rafiki, huyo Dadaako kuolewa na kiongozi wa ccm haiwezi kuwa kinga, Muulize Makamba, Kinana na Nape, Pamoja na kumwingiza Jiwe Madarakani lakini alituma Wahuni wawadukue na kuwadhalilisha, wewe ni dagaa mdogo mno!
Sasa unalia nini?Haina tofauti na Mbowe kumuingiza lissu chadema akamgeuka....endeleeni kumchangia mke mdogo wa lissu mariah sarungi akiue chama....