Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wakamueni wajinga tu hadi waipate freshi!Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.
Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima
View attachment 3314565
Kutoa ni Moyo
Kapuku hatakiwi kuchangaWakamueni wajinga tu hadi waipate freshi!
Shetani hana Rafiki, huyo Dadaako kuolewa na kiongozi wa ccm haiwezi kuwa kinga, Muulize Makamba, Kinana na Nape, Pamoja na kumwingiza Jiwe Madarakani lakini alituma Wahuni wawadukue na kuwadhalilisha, wewe ni dagaa mdogo mno!Ndio malengo yenu ya kitapeli mmenoa mkaumize watu mfanye michango Mariah sarungi mpaka ahakikishe chama kimekufa fii..
Kweli kabisa ndio maana Kapuku Lissu HAJAWAHI kuchangia hata shilingi kwenye michango yoyote ya Chadema tangu aletwe na Mbowe na ushahidi upo! Sana sana yeye huomba achangiwe na ushahidi hata siku anakamatwa na Vijana Mahiri wa Jeshi la Polisi alikuwa ameahika bakuli anachangisha hela kutoka kwa wananchi anaowaita maskini! Ahahahahaha!!Kapuku hatakiwi kuchanga
labda lema atolewe kama msimamizi na muhamasishaji wa hii kitu. Wanachadema hawamuamini hata kidogo kila moja ana mashaka hata na alichokitoa kama kimefika HQ licha ya kuthibitishwa kua pesa yake imekatwaπIfahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.
Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima
View attachment 3314565
Kutoa ni Moyo
badala ya lema uwekwe wewe basilabda lema atolewe kama msimamizi na muhamasishaji wa hii kitu. Wanachadema hawamuamini hata kidogo kila moja ana mashaka hata na alichokitoa kama kimefika HQ licha ya kuthibitishwa kua pesa yake imekatwaπ
Gentleman,badala ya lema uwekwe wewe basi
#NoReformsNoElection
Moyo wa wapi. Mmetumwa na nani.Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.
Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima
View attachment 3314565
Kutoa ni Moyo
joined 15 AprilMoyo wa wapi. Mmetumwa na nani.
ππππππππ Ila nyie Chadomo mtanivunja mbavu.Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.
Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima
View attachment 3314565
Kutoa ni Moyo
Siyo lazima ucommentNdio malengo yenu ya kitapeli mmenoa mkaumize watu mfanye michango Mariah sarungi mpaka ahakikishe chama kimekufa fii..
Hii ya maiti kadhaa imekaaje ?Ifahamike kwamba Wanachadema walioumizwa ni wengi, na pia Kuna Maiti kadhaa zimeripotiwa na zinapaswa kuzikwa kwa heshima.
Changia Tone Tone ili kuhakikisha Majeruhi wanafanyiwa Upasuaji na Marehemu wanazikwa kwa Heshima
View attachment 3314565
Kutoa ni Moyo