Miss twenty twenty/ ulinitega tukaenda guest/ ikawa shega ukanivulia sketi/ bega kwa bega una wivu eti/ ila baadae ukalega sisahau upesi/Miss2020 challenge
Sio siri wengi tulikua na hamu ya kukuona, tulidhani unakarama ya nyoka wa shaba tukikutazama tutapona..../
Ulivyokuja kila mtu alifurahi kukupata, now umeatuachia vidonda umefanya tusijute kukuacha.../
Miss2020 hukuja na shahada ulikuja na kitanzi, tulitegemea utupe mahaba we ukatupa simanzi.../
Unafungama mpaka na wezi kiukweli hauko proper, umekula njama na washenzi kuiba kura uchaguzi wa october.../
Umefanya mengi ya kutisha si utani, ungekua ni mwanachama wa jf ungepigwa ban.../
Ni miss twenty twenty aliyepeta kwa coronaMiss twenty twenty/ ulinitega tukaenda guest/ ikawa shega ukanivulia sketi/ bega kwa bega una wivu eti/ ila baadae ukalega sisahau upesi/
Ukawa zaidi ya spana/ vyuma vikakaza/
Ukapoteza maana/ kutembea ukanikataza/
Mabadiliko ukabana/ bila sanduku wakajitangaza/
Shauku ni kwa Mtanza/ akose njuluku wao wapate kusaza/
Ashindie buku huku wanamjaza/
Mambo iko huku hawatembelei Glanza/
Umeniziba mdomo/ ukasema nikifumbua nitakufa/
Si 'hasa' imefika kikomo/ matamko ya US ni Sabufa/
Siwezi mudu hata motokaa/ umeota mapembe/
Miss 2020 umefanya hii awamu siyo ya kula raha/ aah bora uende/
Kwako wizi naskia ni kama hobi, una pora magari ya watu kama jombi.../Najua wewe ni mafia/ ila kukwambia ukweli siwezi sita/
Watu wengi wamejifia/ kisa mwana umekunja ndita/
Ulianza kuiba simu za Nokia/ leo hii Bank unasepa na vitita/
Kwenye tukio Polisi walikimbia/ walipogundua una silaha za kivita/
Zilikohoa AK 47/ ukaenda kupoa kama upo Heaven/ life ukatia doa kwa complain/ mademu unazoa sababu ya mapeni/
Unapiga dili nyingi/ usiku kwenye mijengo/
Unaua sababu ya shilingi/ hujui unaacha pengo/
Ipo siku utaingia kingi/ maana unasakwa na Kitengo/
Wanted miaka mingi/ unajificha ficha Mwayego/
Siamini maneno yangu utayatii/ maana vema nakufahamu/
Siku zote Kenge hasikii/ mpaka masikio yatoke damu/
******************************************
Ma Mc's mnaweza kuni quite ili kuendeleza hii stori kadri unavyojua na mwingine nae ataendeleza chini ya utakapoishia.
Hii itasaidia kuongeza uwezo wako binafsi na kuleta hamasa pia, hata kwa wale ambao hawajaiva wasiogope hii ni njia ya kujifunza.
Umepitia karate, Wushu, Kombat na Taikwondo/Kwako wizi naskia ni kama hobi, una pora magari ya watu kama jombi.../
Umekula dili mpaka na mamwela, hata ufumwe unaiba hupelekwi jela.../
Unamiliki silaha kiholela, unadiriki mpaka kutoa uhai wa mtu kisa hela.../
Usiku wa juzi umevunja duka, ukaja bar ukampiga waiter na chupa.../
Ukaja geto ukasepa na ile sabufa, Sina cha kufanya nakuombea saa ya kufa.../
Hukuwa na masihara hata kwa warembo wa dijitari, maana baada ya kuwabaka uliwamwagia tindikali.../
Hata shetani hawezi fanya ule ushenzi, ulipowateka ndugu wa damu uliwalazimisha wafanye mapenzi.../
Umefanya maovu mengi mpaka naogopa, mpaka naona adhabu ya kifo pekee haitakutosha.../
kwako huna dogo wala kubwa, kila muda shariUmepitia karate, Wushu, Kombat na Taikwondo/
Wababe unawapiga wallet, mpaka mjeshi ulitembeza kipondo/
Ulipomtongoza Betty, tulijua huna mapenzi ni uongo/
Ona umemsafisha mkwanja bank, kumbe ulinusa tu mchongo/
Mwema matendo yako, ila gizani huwezi kuamini/
Nilipokukuta na bunduki iliyokatwa kitako, ulisema nikae chini upo kazini/
Kunicheki ni mwana, ukasema dah! Umebug sio mimi/
Kitambo umebana, ukimsubiria mtu wa madini/
Hakuna anae kupenda, maana unayotenda siyo haki/
Juzi ulichukuliwa na diffender, leo nakukuta kwenye bata Masaki/
Nasikia umepigwa chale Pemba, ili usiwekwe na Raia kati/
Mtu wa pamba kama Papaa Wemba, kila muda upo smart/
Hata demu akikupenda, ujue hana bahati/
Kama hutamtenda, basi utamuingiza kwenye hizo harakati/
Mama yako alikata roho, kwa presha na taharuki/kwako huna dogo wala kubwa, kila muda shari
Na ni mpenzi wa msuba, na vinywaji vikali
Ulikutwa na unga kwa mkoba, huko mashariki ya mbali
Ila ulivyowakacha mjuba, wahuni wansema kama zali
kwa sasa nasikia ni namba moja kwa wanted list, kama pretty face na dillinger
Ila ndo kwanza unafanya feast, na kuwachenga kama winga
Master wa plotting na twist, ni vile unavimba
itafika yako siku hata tu hata ujifanye simba
matukio kama yote wewe ndio muhisiwaMama yako alikata roho, kwa presha na taharuki/
Aliposikia umefanya soo, kituo cha polisi na ukapora bunduki/
Baba yako ulimkaba koo, alipokukanya ulipata chuki/
Ndugu zako unawaona choo, unasema ni mamluki/
Nilipokwambia atakuzika nani, ulijibu maiti haitupwi/
Nilipokuuliza hela yako inamfaa nani, ulisema inaishia kwenye chupi/
Hufanyi ya maana yaani, unasema maisha mafupi/
Na nilipokusihi urudi ibadani, ukasema umfurahishe yupi/
Usoni unatabasamu, moyoni unyama umesheheni/
Unatamani ujiunge na Boko Haram, ni vile tu huna connection/
To be honest idea ya hii verse imekuja vile vile kama ya dizasta hatia ivnjiani akitembea anakata makalio, nikampotezea nikajikita kusaka salio.../
kwa ule mkuki nilochomwa na yule mfilisti, nilijenga chuki wanawake wote nikawaona wasaliti.../
Kwenye kiti cha moyo wangu mwanamke hakua na siti, ila siku zilivyosonga nilijikuta nimekua peace.../
Maumizi yakuachwa yalikoma, nikafungua ukarasa mpya wa mapenzi nakuanza kusoma.../
Iliikua ni furaha iliyopotea muda umbali mrefu, kumpata mwanamke mwenye akili pevu.../
"Conversation ya jambazi mbele ya mateka"matukio kama yote wewe ndio muhisiwa
Ya kigogo kutekwa nusu kuuliwa/
Bank robbery kisha kukimbia/
Human trafficking na madawa kuaddiwa/
Kama si kuroga basi umechanjia
Maana unafahamika ila unasaziwa
Ona sasa huna rafiki wa kweli mpaka sasa/
Wengi wankugwaya ko wanakukacha/
Utabaki peke yako usipo badilika sasa/
............................
Nina bunduki kwenye koti, na panga la kuwamaliza/"Conversation ya jambazi mbele ya mateka"
Mikono juu simama hapo ulipo, mko chini ya ulinzi mwana niko windo.../
mimi kuua ni rahisi kama kutumbua pimple, so nahitaji ushirikiano wenu zoezi liwezekua simple.../
Kila mtu aweke mkwanja mezani, usipofanya hivyo utakua umeweka roho yako rehani.../
Kimya kimya vua cheni na vidani vya thamani, kupiga kelele kutayaweka maisha yako matatani.../
Binti usiweke pozi la mtego siwezikunasa, nikiwa kazini hata ukae uchi siwezi kukupapasa.../
Nishapiga puli na ndio maana sina mzuka, bana mapaja tanua waleti acha ufuska.../