Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,489
- 12,137
- Thread starter
- #321
Naandika yaliyojiri hii wiki, dah! Maana ni soo/
Gwajima anasema chanjo haiaminiki, itatutoa roho/
Huku Manara kaachia kiti, japo mashabiki wanaomba poo/
Na Diamond msanii wa Muziki, kashusha Rolls Royce/
Simba imeonyesha ukaidi, Yanga imeshindwa kupiga kwenye mshono/
Matukio ya moto yamezidi, mapenzi yanatupa somo/
Mama anajitahidi, chanjo kuipigia promo/
Eti Kamanda kawa gaidi, wananchi wamelala usingizi wa pono/
Haya yote sio ya kale, ya juzi nayapanga kiufundi/
Tozo ipo pale pale, asiyeweza aende Burundi/
Corona inataka itawale, mitaani kama kaonekana Bundi/
Na Insta ni yule Mtoto mkale, na Vanny Boy wanapeana Tundi/