Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

Natema verse za moto utasema nimezaliwa kuzimu/
jeshi la mtu mmoko natisha kama joka la mdimu/
Scars acha utoto verse mbili unajikuta hashim dogo unakata stimu/
Sirap mafumbo Mshtueni Mvumbo akikosa ndege anunue ungo, one man army nazama vitani na nyundo/ wananijua tangu zamani me ndo mkali wa tungo/
 
Ngumu kumezaa
Hii ni Ngumu kumeza ndio,
Najua mrembo umezoea kuimba mapambio../
Napenda coment zako zimefanya umenitega sikio,
Kila time nakuchek ukishusha matilio.../
Haujawahi kufake we haufanani na madent, Unafaa kuwa wife materiaal/
Ntakupa check, au unataka benk/
kwako nimejipanga niko radhi niishiwe mpaka salio/
Sitokusaliti kwa pigo za kisnitch cause me sio mnafiki kama kamanda ***urio.../

Utani.
 
Natema verse za moto utasema nimezaliwa kuzimu/
jeshi la mtu mmoko natisha kama joka la mdimu/
Scars acha utoto verse mbili unajikuta hashim dogo unakata stimu/
Sirap mafumbo Mshtueni Mvumbo akikosa ndege anunue ungo, one man army nazama vitani na nyundo/ wananijua tangu zamani me ndo mkali wa tungo/
Umevaa njunga unajikuta komando kipensi, ukitaka shari na wakubwa utawaishwa bugando upesi.../
Scars ni mjadala usiofika kikomo kama ronaldo na messi, navyo freestyle hawanigusi kama cado na mex.../
 
Umevaa njunga unajikuta komando kipensi, ukitaka shari na wakubwa utawaishwa bugando upesi.../
Scars ni mjadala usiofika kikomo kama ronaldo na messi, navyo freestyle hawanigusi kama cado na mex.../
Endelea kusugua gaga nicheki umbo lako, mtoto mzuri kama lady gaga napenda macho yako/
unajua kunaditishaga kifala mwenzako, usiku ni mwendo wa bato hakuna kulala/
sikia scara/acha papara/utaleta msala maana kiuno unavonyonga utavunja chaga sio masihara/
 
Naona waki waki nyiingii[emoji2]
Umeandika haraka haraka, vipi wapi unawahi/
Embu tuliza mzuka, sikia jambo hili/
Ujue nimekuona kutoka, upo kule mbali/
Daaah mchiz umerefuka, ingawa bado mfupi/
 
Leo napush mistari/ mkushi naonyesha uhodari/
Wazushi mi ni bahari/ hamgusi hata kwa morali/
Mvumbo ni m'bakiaji, kama alama za barabarani/
Dogo usidharau Bajaji, Ndege haikufikishi nyumbani/
Natawala dimba, msituni niite Tarzan/
Hawa Tembo Simba, wanajua mimi nani/
Watoto wadogo/ wanatoa boko tukiwapa kisogo/
Wanataka soko na hawana logo/ sa' natembeza mboko mdogo mdogo/
Mvumbo sauti ya Gheto/ dada usilete tumbo mimi nina beto/
Wananiogopa kama Meko/ Ukonga na Keko/
Mpaka mitaa ya Soweto/ haina mbeleko/
Demu wako anae sitasita, eti mpaka kesho/
Kwangu anakatika, kama umeme wa Tanesco/
Kudos
 
Endelea kusugua gaga nicheki umbo lako, mtoto mzuri kama lady gaga napenda macho yako/
unajua kunaditishaga kifala mwenzako, usiku ni mwendo wa bato hakuna kulala/
sikia scara/acha papara/utaleta msala maana kiuno unavonyonga utavunja chaga sio masihara/

Nikiwa na wewe siwezi kusugua gaga, we ni mtori na hapo ndo nishatua mchaga.../

Umbo langu zuri kwasababu lina six pack, nikiwa mbali na we hua namis zile sexy part../

Mabishoo na matozi waliojilengesha, wote ukawakacha kwa pozi ukawafedhehesha.../
 
Natema verse za moto utasema nimezaliwa kuzimu/
jeshi la mtu mmoko natisha kama joka la mdimu/
Scars acha utoto verse mbili unajikuta hashim dogo unakata stimu/
Sirap mafumbo Mshtueni Mvumbo akikosa ndege anunue ungo, one man army nazama vitani na nyundo/ wananijua tangu zamani me ndo mkali wa tungo/
Sio ujinga kunidiss ila umegusa waya/
Natinga kama Simba aliyemuona fisi kwenye himaya/
Leo umeyatimba kirahisi nakupa vina vya bei mbaya/
Kwenye dimba kama Ibilisi hadi waumini wananigwaya/
Sembuse mtoto mdogo unaeacha mbachao/
Umesahau Mvumbo ni Hip Hop logo niite Baba yao/
Je utaomba msamaha kama Mgogo au utajifanya Farao/
Kosa lako ni dogo kunikalia vikao/ Aristote/
Nina mistari ya mafao zaidi ya Dangote/
Niogope/ usiote/ battle na mimi utapotea pote/
Unapaswa kuniita King kila rhymes ninapo kohoa/
Kichwani nina mistari mingi zaidi ya chupi kwa Changudoa/
 
Nikiwa na wewe siwezi kusugua gaga, we ni mtori na hapo ndo nishatua mchaga.../

Umbo langu zuri kwasababu lina six pack, nikiwa mbali na we hua namis zile sexy part..
Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,
Kivipi mwanaume unajisifia umbo, umekua cinderela
au unataka nikupige mtungo, mhuni niende jela/
Naona unachezea moto we mtoto hunipati vyema/
Mistari ya kichoko, unatema tu boko, afu unajikuta classic kama jidenna/
Wakati upo local, hauna bars/ ropo ropo la msimbazi/ikowazi unajulikana we kichwa panzi ni mtoto wali nazi/
 
Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forum, karibuni nyuma msibaki/
Leo mitandaoni ukisema usome, habari zimejaa ukakasi/
Huku Kiba anasema UNIKOME, huku Idriss akaripoti Polisi/
Huku Kigwa kavunja ngome, Le M'bebez kapiga pasi/
Haya yasikufanye ulale ukorome, pambana watoto wasile nyasi.
Yeah yeah Mvumbo usiwe kama uvundo ukafuata mkumbo na kupotea kimtindo kama pido kwenye wigo wa kina kido.

Repeat chorus×2
 
Mi ni mbishi zaidi ya nikk,
Sitishiki wala siogopi, hao
marapa wenu wenye jokes kama mpoki/
Daily wanawaza kiki, flows wanacopy/

Wanajua am the G.O.A.T, ukinigusa umelost career/
Nikiwaka ni kisanga natembeza panga kama kibiti area/

Yeah Humu ndani sijaona wakuni-diss,
wote niwepesi /
kama yupo mtag aje upesi/
Ila mwambie asije less, asifuate mkumbo kama Mvumbo na Scars walipojaribu kunitest/

Wakakutana nyundo za bars,mpaka wakapoteza network/
 
Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,
Kivipi mwanaume unajisifia umbo, umekua cinderela
au unataka nikupige mtungo, mhuni niende jela/
Naona unachezea moto we mtoto hunipati vyema/
Mistari ya kichoko, unatema tu boko, afu unajikuta classic kama jidenna/
Wakati upo local, hauna bars/ ropo ropo la msimbazi/ikowazi unajulikana we kichwa panzi ni mtoto wali nazi/
Mjeda siwezi kupigiwa kelele na migambo, nimekupa nafasi uchane unaleta michambo.../

Hutaki mwanaume wa six pack unataka kitambi, una rap mipasho mpaka nahisi nn'a battle na mange kimambi.../

Kipindi nakupata ulikuwa umekonda ka unaumwa safura, leo unanidharau eti kisa tu nyuma una chura.../

Tangu upate bwana umekuwa mtu wa mafumbo, ulidhani siri washanambia kua unatoka na Mvumbo.../
 
Mi ni mbishi zaidi ya nikk,
Sitishiki wala siogopi, hao
marapa wenu wenye jokes kama mpoki/
Daily wanawaza kiki, flows wanacopy/

Wanajua am the G.O.A.T, ukinigusa umelost career/
Nikiwaka ni kisanga natembeza panga kama kibiti area/

Yeah Humu ndani sijaona wakuni-diss,
wote niwepesi /
kama yupo mtag aje upesi/
Ila mwambie asije less, asifuate mkumbo kama Mvumbo na Scars walipojaribu kunitest/

Wakakutana nyundo za bars,mpaka wakapoteza network/
Booth ndo ulingo, sogeeni nyie vilaza.../

Niwategue misuli ya shingo, mjiunge kundi mkanijadili kwenye vibalaza.../

Scars vipi mbona Jf unaingia na fimbo, nawachapa bakora marapa ambao hawajui kukaza.../

Pole kwako rapa uliyeshindwa hii ligi, unajiita goat afu una sound ki-pig.../

Nina verse zenye thamani isiyonunulika kwa shilingi, najua vingi kuhusu mziki na siringi.../

Hata ukiwaka huwezi kutembeza panga, labda kwa maboya ila hapa utasanda.../

Hujui mi mjeda na home nina gwanda, sa jichanganye nikuoneshe kwanini mavi ya mbuzi ni karanga.../
 
Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,
Kivipi mwanaume unajisifia umbo, umekua cinderela
au unataka nikupige mtungo, mhuni niende jela/
Naona unachezea moto we mtoto hunipati vyema/
Mistari ya kichoko, unatema tu boko, afu unajikuta classic kama jidenna/
Wakati upo local, hauna bars/ ropo ropo la msimbazi/ikowazi unajulikana we kichwa panzi ni mtoto wali nazi/
Mtoto wali nazi akili kisod"
Daily anafukuzana na Dada zake Kwa dressing table kupaka poda"

Asipochunga wajuba tutapita na kigoda"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoto wali nazi akili kisod"
Daily anafukuzana na Dada zake Kwa dressing table kupaka poda"

Asipochunga wajuba tutapita na kigoda"[emoji23][emoji23][emoji23]
Talking shit behind my back, bruh you gotta be coward.../

You say you rhyme hard, why you can't just step forward?

Jogoo wa shamba ni wakwangu mwenyewe manati ya nini, mali ya kwangu mwenyewe sa masharti ya nini.../

Kwanza kabla ya kuni diss ungejiuliza, jukwaani nipo mimi wengine kipi kimewakimbiza.../

Umekuja kuanzisha vita ambayo hutaimaliza, hakuna wakukuokoa hata ifanyike miujiza.../

Jogoo upo leo kwasababu nimezongwa na mitikasi, isingekuwa hivyo ningesha kuchinja chrismas../
 
Na madogo sijihusishi, ni mautundu sio kubwabwaja/
Hii mistari ina ushawishi, kama nundu katikati ya mapaja/
Nishavuka level za ubishi, gundu usiyempenda kaja/
Wanaosema sitishi, wanabana pumb* kuzuia Baja/
Mvumbo kwenye Game, niite muasisi/
Natafuna mademu, na bado hawanifilisi/
Wahuni wakiniona sehemu, wanatupa bisibisi/
Michongo kem kem, tunaifuata hata Kwa msisi/
Madogo mnaweka wigo, hamtaki kubeba rumbesa/
Mwisho wake Tigo, inakuwa Tigopesa/
 
Nikishuka wanastuka kama wamemwona masih/
marapa wenu vipusa kwenye game wanaanguka, course hawana plan b/

Fungua roho upokee flow za uzima, mc wengi much know mithili ya Gwajima/
kutwa wanahit na kiki wakati pikipiki za kuazima/
 
Back
Top Bottom