chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Ngumu kumeza ndio,Ngumu kumezaa
Umetisha sana mkuu 😂😂Hii ni Ngumu kumeza ndio,
najua mrembo umezoea kuimba mapambio../
napenda comment zako zinapendeza umenitega sikio,
kila time nakuchek ukishusha matilio.../
natamani uwe wangu we ndio wife material, sitakusaliti me sio mnafiki kama kamanda ***urio.../
Utani.
Umevaa njunga unajikuta komando kipensi, ukitaka shari na wakubwa utawaishwa bugando upesi.../Natema verse za moto utasema nimezaliwa kuzimu/
jeshi la mtu mmoko natisha kama joka la mdimu/
Scars acha utoto verse mbili unajikuta hashim dogo unakata stimu/
Sirap mafumbo Mshtueni Mvumbo akikosa ndege anunue ungo, one man army nazama vitani na nyundo/ wananijua tangu zamani me ndo mkali wa tungo/
Haha Asante..!Umetisha sana mkuu
Endelea kusugua gaga nicheki umbo lako, mtoto mzuri kama lady gaga napenda macho yako/Umevaa njunga unajikuta komando kipensi, ukitaka shari na wakubwa utawaishwa bugando upesi.../
Scars ni mjadala usiofika kikomo kama ronaldo na messi, navyo freestyle hawanigusi kama cado na mex.../
Umeandika haraka haraka, vipi wapi unawahi/Naona waki waki nyiingii[emoji2]
KudosLeo napush mistari/ mkushi naonyesha uhodari/
Wazushi mi ni bahari/ hamgusi hata kwa morali/
Mvumbo ni m'bakiaji, kama alama za barabarani/
Dogo usidharau Bajaji, Ndege haikufikishi nyumbani/
Natawala dimba, msituni niite Tarzan/
Hawa Tembo Simba, wanajua mimi nani/
Watoto wadogo/ wanatoa boko tukiwapa kisogo/
Wanataka soko na hawana logo/ sa' natembeza mboko mdogo mdogo/
Mvumbo sauti ya Gheto/ dada usilete tumbo mimi nina beto/
Wananiogopa kama Meko/ Ukonga na Keko/
Mpaka mitaa ya Soweto/ haina mbeleko/
Demu wako anae sitasita, eti mpaka kesho/
Kwangu anakatika, kama umeme wa Tanesco/
Endelea kusugua gaga nicheki umbo lako, mtoto mzuri kama lady gaga napenda macho yako/
unajua kunaditishaga kifala mwenzako, usiku ni mwendo wa bato hakuna kulala/
sikia scara/acha papara/utaleta msala maana kiuno unavonyonga utavunja chaga sio masihara/
Sio ujinga kunidiss ila umegusa waya/Natema verse za moto utasema nimezaliwa kuzimu/
jeshi la mtu mmoko natisha kama joka la mdimu/
Scars acha utoto verse mbili unajikuta hashim dogo unakata stimu/
Sirap mafumbo Mshtueni Mvumbo akikosa ndege anunue ungo, one man army nazama vitani na nyundo/ wananijua tangu zamani me ndo mkali wa tungo/
Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,Nikiwa na wewe siwezi kusugua gaga, we ni mtori na hapo ndo nishatua mchaga.../
Umbo langu zuri kwasababu lina six pack, nikiwa mbali na we hua namis zile sexy part..
Yeah yeah Mvumbo usiwe kama uvundo ukafuata mkumbo na kupotea kimtindo kama pido kwenye wigo wa kina kido.Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forum, karibuni nyuma msibaki/
Leo mitandaoni ukisema usome, habari zimejaa ukakasi/
Huku Kiba anasema UNIKOME, huku Idriss akaripoti Polisi/
Huku Kigwa kavunja ngome, Le M'bebez kapiga pasi/
Haya yasikufanye ulale ukorome, pambana watoto wasile nyasi.
Mjeda siwezi kupigiwa kelele na migambo, nimekupa nafasi uchane unaleta michambo.../Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,
Kivipi mwanaume unajisifia umbo, umekua cinderela
au unataka nikupige mtungo, mhuni niende jela/
Naona unachezea moto we mtoto hunipati vyema/
Mistari ya kichoko, unatema tu boko, afu unajikuta classic kama jidenna/
Wakati upo local, hauna bars/ ropo ropo la msimbazi/ikowazi unajulikana we kichwa panzi ni mtoto wali nazi/
Booth ndo ulingo, sogeeni nyie vilaza.../Mi ni mbishi zaidi ya nikk,
Sitishiki wala siogopi, hao
marapa wenu wenye jokes kama mpoki/
Daily wanawaza kiki, flows wanacopy/
Wanajua am the G.O.A.T, ukinigusa umelost career/
Nikiwaka ni kisanga natembeza panga kama kibiti area/
Yeah Humu ndani sijaona wakuni-diss,
wote niwepesi /
kama yupo mtag aje upesi/
Ila mwambie asije less, asifuate mkumbo kama Mvumbo na Scars walipojaribu kunitest/
Wakakutana nyundo za bars,mpaka wakapoteza network/
Mtoto wali nazi akili kisod"Kwanza kiukweli mchizi una flow utumbo,
Kivipi mwanaume unajisifia umbo, umekua cinderela
au unataka nikupige mtungo, mhuni niende jela/
Naona unachezea moto we mtoto hunipati vyema/
Mistari ya kichoko, unatema tu boko, afu unajikuta classic kama jidenna/
Wakati upo local, hauna bars/ ropo ropo la msimbazi/ikowazi unajulikana we kichwa panzi ni mtoto wali nazi/
Talking shit behind my back, bruh you gotta be coward.../Mtoto wali nazi akili kisod"
Daily anafukuzana na Dada zake Kwa dressing table kupaka poda"
Asipochunga wajuba tutapita na kigoda"[emoji23][emoji23][emoji23]