INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Ni muhimu sana kumiliki shamba la matunda kwa ajili ya kujiongezea kipato na kutengeneza mrija wa kujipatia fedha
point muhimu sana hii ya kuanza nayo siku mkuu.Great idea great thinker
 
Hivi ukishapima udongo mpimaji anakushauri na mazao ambayo unaweza kupanda kutokana na udongo ulioko shambani? Au unaishia kuambiwa tu kuwa udomgo wako uko so and so??
wanakushauri mkuu
 
Hivi ukishapima udongo mpimaji anakushauri na mazao ambayo unaweza kupanda kutokana na udongo ulioko shambani? Au unaishia kuambiwa tu kuwa udomgo wako uko so and so??
Ukitaka lab results only wengi wanafanya wastani wa 30,000 kwa sample 1. Ukitaka analytical report ni kuanzia 50,000 kwa kila sample
 
Umejaribu? Zinagoma?
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani
 
Apple zinastawi zaidi na kutoa matunda mazuri kwa ardhi ya aina gani mkuu, na pia mikoa ipi inafaa kupanda Apple
 
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani
Unaweza nisaidia aina hizo mkuu mi nataka nipande tu kwenye plot sio kwa ajili ya biashara
 
Hass kwa dar utapoteza muda
Kwanza ,mkuu hili sio jibu la kumpa mteja,kuna lugha ya kumjibu mteja hata kama kitu anachotaka kununua kwako hakitaleta matokea aliyotarajia,Rejea comments zangu za nyuma utaelewa nini nina maanisha.

Pili,Kati ya mikoa ambayo nina wateja wengi wa parachichi ni Dar(Hass ni moja wapo),umeprove vipi kama kweli hao rafiki zako parachichi zao zimeshindwa kustawi sababu ya hali ya hewa.Zipo sababu nyingi ambazo zinasababisha mche/miche kushindwa kuleta matokea mazuri.

Tatu,naomba mkuu unipe nafasi kwenye huu uzi wangu.
 
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani
Screenshot_2021-02-06-06-17-05.jpg

Hii ni odder moja wapo kati ya odder nyingi za parachichi kwa wateja wa Dar
 
Nimeona kwa watu wangu wa karibu, unaweza kupanda miche 20 ikapona 2 au 3 na uzaaji wake ni mdogo sana na matunda hayana ubora. Kuna aina ambazo zinakubali ukanda wa pwani
Screenshot_2021-02-06-06-18-28.jpg
 
Back
Top Bottom