Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wangu naomba urejee comment yangu ya 445.Nipe elimu ya kilimo cha malimao kwa ekari 1...Miche mingapi? Nitavuna baada ya muda gani? Investiment cost?
limao na ndimu utaanza kuvuna baada ya mwaka mmoja na nusu mpaka miaka miwili.
Karibu
Huo mche ulikuwa umefanyiwa grafting mkuu?
Hii unafanya hata kwa miche ya parachichi na miembe kutoa hulo nylon?View attachment 1685741Mkuu nimejaribu kuweka alama ili iwe rahisi kukuelekeza.
Hiyo nylon unapaswa kuitoa wiki moja tangu unapopanda mche wako
Pia hayo majani yote yanayoota kuanzia hapo kwenye nylon kushuka chini inabidi uyatoe kila yanapoota
ANGALIZO: wakati unatoa hakikisha usichubue mche(shina).Sababu unaweza kusababisha kidonda kwenye mche,toa majani kwa uangalifu.
mche wetu umefanyiwa grafting,tukiwa na maana kuwa Kuna muunganiko wa mche wa asili/mama(chini) na mche wa kigeni(juu),
Hivyo,"mama" ataendelea kupeleka mahitaji kwa watoto wake(majani) kutoka ardhini,Hii itasababisha mche wa kigeni ukose mahitaji (chakula na maji).
Hii itasababisha mche kushindwa kutoa maua na matunda kwa wakati uliotarajiwa,Mfano ni huo mche wako
King Kong III
Hii unafanya hata kwa miche ya parachichi na miembe kutoa hulo nylon?
ndio boss,miche yote iliyofanyiwa grafting lazima utoe nylon,usipofanya hivyo mche wa kigeni utakosa mahitaji yake muhimu,lakini pia usipotoa nylon itazama ndani ya shina kadri mche unavyozidi kukua na kuongezeka ,hivyo utaadhiri mche/mtiHii unafanya hata kwa miche ya parachichi na miembe kutoa hulo nylon?
Nylon inapaswa kuitoa baada ya wiki moja baada ya kuotesha mche,Je ulifanya hivyo?
Je ulikumbuka kutoa majani yote yanayoota kuanzia sehemu yenye nylon kushuka chini?
Asante sana ina miezi sita kwa sasapole mkuu.Muuzaji alipaswa kukupa huu muongozo baada ya kununua miche.
Ina umri gani kwasasa?
Asante sana ina miezi sita kwa sas
0719527052Asante sana ina miezi sita kwa sasa