Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kupata MAKADAMIA bossSpace 8*8 miche 76 kwa eka moja
Mavuno baada ya miaka miwili na nusu mpaka mitatu
Miche ya Parachichi inayopatikana kwenye bustani yetu ni
1.Parachichi Hass,mche sh 2500
2.Fuerte,mche sh 2000
parachichi Hass lina ganda lenye vipele.
Parachichi Hass lina mafuta mengi na hutumika zaidi katika viwanda vinavyotengeneza mafuta na vipodozi.
Kwa wafanya biashara,parachichi Hass linavumilia hata likisafirishwa umbali mrefu haliharibiki