INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Space ya 5*5m utahitaji miche 196 katika eneo lenye ukubwa wa eka 1.
Shimo lenye urefu wa ft 2

aina za miche ya machungwa inayopatikana katika bustani zetu ni:
1.Sweet matombo
2.Valencia

Aina hizi hazijatofautiana sana,tofauti yao ni katika shape/umbo.

Sweet matombo yana umbo la mviringo kama sifuri,lakini Valencia yamechongoka kidogo sehemu ya juu(yenye kikonyo)

Bei ya mche ni sh 2500
 
IMG-20200901-WA0038.jpg
 
20210123_144149.jpg

komamanga
 
Attachments

  • 20210123_144149.jpg
    20210123_144149.jpg
    326.4 KB · Views: 5
20210123_163254.jpg

Pilipili hoho za rangi zipo.Kilo moja sh 4500.

Size ni kubwa
Harufu yake ni nzuri
Muonekano mzuri kwenye chakula
Zina afya njema

*NOTE*Tuna uza pilipili hoho na sio miche ya pilipilo hoho

Karibuni
 
Mpapai unaotoa matunda ndani ya Miezi sita je huwa mti wake unakuwa na urefu kiasi gani?

Je tuseme baada ya miaka miwili mti unaweza kuongezeka urefu kufikia usawa wa paa la nyumba?

Nanje mizizi yake ni mikubwa kiasi gani? Je inakuwa kwa kuelekea chini ya aridhi (Straight down) Au inakuwa kwa kutambaa usawa wa ardhi? (horizontally)
 
Hii miche inaanza kuzaa ikiwa na urefu wa kuanzia 50-80cm.
Kadri unavyovuma matunda,mche unazidi kurefuka,kimo kinaongezeka.

Kuna aina mbili za mizizi.
Fibrous.Hii inatokea kwenye miche/mimea ya Mono.
Taproot,inatokea kwenye miche/mimea ya Dicot
Nadhani mpaka hapo utakuwa umeelewa miziz ya papai iko kwenye kundi gani mkuu(Tulisoma kwenye sayansi ya darasa la sita)
 
Mpapai unaotoa matunda ndani ya Miezi sita je huwa mti wake unakuwa na urefu kiasi gani?

Je tuseme baada ya miaka miwili mti unaweza kuongezeka urefu kufikia usawa wa paa la nyumba?

Nanje mizizi yake ni mikubwa kiasi gani? Je inakuwa kwa kuelekea chini ya aridhi (Straight down) Au inakuwa kwa kutambaa usawa wa ardhi? (horizontally)
IMG-20210104-WA0002.jpg

Huu ni mrejesho wa member mmoja wapo hapa jukwaani.Nilimuuzia hii miche Nov/2020.Huu mrejesho amenitumia Tar 4/Jan/2021
 
Nipe elimu ya kilimo cha malimao kwa ekari 1...Miche mingapi? Nitavuna baada ya muda gani? Investiment cost?
 
Back
Top Bottom