Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
nataka komamanga npo dar..Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
karibu boss.Mche sh 2000nataka komamanga npo dar..
DuuuhUnaweza kutofautisha miche aina ya Citrus kwa kunusa majani ya mche husika.
Lakini pia kwa muonekano wa majani
Mche wa ndimu:majani yake ni kama yana rangi ya njano kwa mbali,unjano ambao ni kama majani yameungua na jua.
Mche wa chungwa:Mche huu majani yake yana kijani kilichoiva sana,ni kama kijani inaelekea kuwa na weusi.
Hiyonitumie picha ili nione mkuu wangu,inakuwa rahisi kujua dawa ya kutumia.
Unaweza kunitumia hapa au kuleee[emoji4]
Sawapole mkuu kwa changamoto.
Tumia "farmguard"
Hellokaribuni wakuu niwahudumie.
0719527062/0757056472
Mkuu Lily Tony, hizi namba ni za kwako, au ni za wasaidizi wako? Maana hiki kibabu kwenye hii avatar kinataka kikupigie ili kije kikuvamie hapo SUA siku chache zijazo!karibuni wakuu niwahudumie.
0719527062/0757056472
Boss hizo namba ni za kwangu,ukipiga basi moja kwa moja utasikia sauti yangu.Mkuu Lily Tony, hizi namba ni za kwako, au ni za wasaidizi wako? Maana hiki kibabu kwenye hii avatar kinataka kikupigie ili kije kikuvamie hapo SUA siku chache zijazo!
Kinataka kuja kuchukua miche ya kutosha tu ya matunda baada yakupata mafao yake! Hakikisha unakifanyia discount ya kutosha tu.
Natamani mparachichi ila kila ninapopanda inakufa nishauri nipo Dar ni aridhi ya mchangajamani boss[emoji23].Nakutumia huu mparachichi basi
pole kwa changamoto mkuu.Natamani mparachichi ila kila ninapopanda inakufa nishauri nipo Dar ni aridhi ya mchanga