INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
nataka komamanga npo dar..
 
nataka komamanga npo dar..
karibu boss.Mche sh 2000

Gharama za usafiri(Moro-Dar) kwa pacel moja yenye miche isiyozidi 50 ni sh 13000

Mchanganuo wa nauli:
Sh 3000 ni nauli ya bodaboda kutoka SUA mpaka Msamvu.
Sh 1000 ni malipo ya mbebaji wa pacel ndani ya stendi.
Sh 9000 ni nauli ya pacel .

Kwa mawasiliano zaidi 0719527062/0757056472
 
Unaweza kutofautisha miche aina ya Citrus kwa kunusa majani ya mche husika.
Lakini pia kwa muonekano wa majani
Mche wa ndimu:majani yake ni kama yana rangi ya njano kwa mbali,unjano ambao ni kama majani yameungua na jua.

Mche wa chungwa:Mche huu majani yake yana kijani kilichoiva sana,ni kama kijani inaelekea kuwa na weusi.
 
Duuuh
 
Mche wa chenza: Mche huu majani yake yamejikunja kwa ndani
IMG-20210824-WA0000.jpg
 
Karibuni sana SUA(Horticulture) tuwahudumie
 
karibuni wakuu niwahudumie.
0719527062/0757056472
 
karibuni wakuu niwahudumie.
0719527062/0757056472
Mkuu Lily Tony, hizi namba ni za kwako, au ni za wasaidizi wako? Maana hiki kibabu kwenye hii avatar kinataka kikupigie ili kije kikuvamie hapo SUA siku chache zijazo!

Kinataka kuja kuchukua miche ya kutosha tu ya matunda baada yakupata mafao yake! Hakikisha unakifanyia discount ya kutosha tu.
 
Boss hizo namba ni za kwangu,ukipiga basi moja kwa moja utasikia sauti yangu.
Nina mkaribisha sana huyo babu na nitafurahi sana kuonana nae na kumhudumia pia.
Kuhusu discount,hilo ondoa shaka.Utapata discount
 
Sio discount tu,tunakuwa na bonus pia kwa anaechukua miche kuanzia 50
 
MINAZI
kwa space ya 9*9m utahitaji miche 50/acre
 
MACADAMIA NUTS
Utahitaji miche 35/acre endapo utachanganya na zao lingine.

Utahitaji miche 77/acre kama hutachanganya na zao lingine,kwa space ya 8*8
 
Natamani mparachichi ila kila ninapopanda inakufa nishauri nipo Dar ni aridhi ya mchanga
pole kwa changamoto mkuu.
1.Hakikisha unapewa muongozo wa namna ya kupanda miche kitaalamu,wengi huwa wanafanya makosa madogo madogo wakati wa kupanda miche na makosa haya ndio hupelekea kupata matokeo mabaya.
2.Kama eneo lako halina rutuba,hakikisha kwenye shimo,unaweka debe 1
 
Back
Top Bottom