Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne"[emoji56][emoji56] na kalamu nyeusi na nyekundu.
Samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa wakati mkuu.
Macadamia nuts zipo za aina mbili
1.Macadamia ambazo ganda lake(shell) ni rough.Mche huu katika mzunguko mmoja na majani 4
Aina hii ndio hupatikana sana Tz
2.Macadamia ambazo ganda lake ni soft,mche wake una majani 3
Macadamia zinastawi vizuri kwenye maeneo/mikoa inayostawi Migomba,parachichi,kahawa.Ingawa maeneo mengine pia majaribio yanaonyesha kuleta matokeo mazuri
Mche huanza kutoa nuts baada ya miaka 3(hii ni mche wa kisasa).Miaka 5 kwa local seedling
Uvunaji wake ni wa aina mbili
1.Nuts zinaanguka zenyewe
2.Nuts kutunguliwa
Mti huzaa mara 2-3 kwa mwaka ,kwa wastani wa kg 20-25
Mavuno kwa mwaka yanakadiriwa kuwa 45-90kg/yr.