Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Itakua ni miche ya ziada nje ya ile 50 bila shaka. Ametumia tu lugha ya kibiashara.Biashara ni ngumu sana aisee
Mtoa post hajasema BONUS/motisha ni kitu gani [emoji1430]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ni miche ya ziada nje ya ile 50 bila shaka. Ametumia tu lugha ya kibiashara.Biashara ni ngumu sana aisee
Mtoa post hajasema BONUS/motisha ni kitu gani [emoji1430]
Mche wa muembe dodo wa asili unapatikana na bei yake ni ngapi ChiefAsanteni wakuu kwa kuendelea kutumiani.
Tunafurahi sana kuwahudumia lakini pia shukrani nyingi kwa mkuu aliefika ofisini kwetu leo.Mmefanyika baraka kwetu.
View attachment 1959906
miche ya macadamia
[emoji4]sawa boss,tafuta notebook na kalamu narudi kukupa hints
Samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa wakati mkuu.Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne"[emoji56][emoji56] na kalamu nyeusi na nyekundu.