INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Tuna aina mbili za parachichi
1.Hass
2.Fuerte
 
asanteni sana kwa kutuunga mkono,wakuu mbarikiwe sana
Asante jf
 
Mery x-mass and Happy new year in advince wapendwa wateja wetu.
 
Miti midogo ya matunda ni ipi ambayo naweza kupanda?
midogo bila shaka una maanisha miti ambayo haiendi sana juu,kama ndivyo,unaweza kupanda miti ifuatayo
1.Papai
2.Komamanga
3 starfruits
4.Strawberry
5.passion
6.pera n.k
 
Happy new year
Bado tunapokea odder,karibuni
 
Nisaidie ni dawa gan ya ku puliza.nimepanda mkomamanga wa kisasa umeanza kutoa matunda ila wadudu .pia nataka ukue vizur
 
Nisaidie ni dawa gan ya ku puliza.nimepanda mkomamanga wa kisasa umeanza kutoa matunda ila wadudu .pia nataka ukue vizur
una shauriwa kupiga dawa wakati wa maua na wakati wa matunda pia.Ili kuua vimelea vya wadudu mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…