INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Nisaidie ni dawa gan ya ku puliza.nimepanda mkomamanga wa kisasa umeanza kutoa matunda ila wadudu .pia nataka ukue vizur
20210808_160126.jpg
 
starfruit: Tunda lenye harufu nzuri,muonekano wa kuvutia,ladha tamu.

Unaweza kula na kutengenezea juice pia sababu ya harufu ,kiwango kikubwa cha sukari na ladha yake

Mche sh 2000
 
PAPAI

Utahitaji miche 530 katika eneo la eka,kwa umbali wa 3*3m kati ya mche na mche,mstari na mstari

mmea ukianza kutoa maua tumia mbolea aina ya Max More,Nitrable n.k ili kuzuia maua yasianguke.

Karibuni sana kwenye vitalu vyetu ili kujipatia miche ya Papai kwa ya sh 3500.

Tuna aina mbili za papai, Malkia F1 na Calfornia
 
Back
Top Bottom