INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

20210808_154644.jpg
 
hizo ni baadhi ya dawa zitumikazo kuua wadudu,kutoa fungusi kwenye miche
 
hizo ni baadhi ya dawa zitumikazo kuua wadudu,kutoa fungusi kwenye miche
 
Michungwa yangu na michenza imekamatwa na kutu nyeusi nipendekezee dawa nzuri hapa nikapulize wiki hii
nitumie picha ili nione mkuu wangu,inakuwa rahisi kujua dawa ya kutumia.
Unaweza kunitumia hapa au kuleee😊
 
boss Lily hongera na kazi yako, hivi vanilla inaweza kulimwa mikoa ya pwani kama bagamoyo au kisarawe?
Mikoa mingi inaendelea kufanya majaribio kulima vanilla na matokeo yameonekena kuwa mazuri.
Ukanda wa Pwani pia Vanila imeleta matokeo mazuri.
Karibu boss wangu
 
Thanks madame, usichoke kujibu maswali ya wadau.. unatusaidia sana. Ngoja tujipange
Boss huwa ninafurahi sana ninapokutana na maswali hapa jukwaani,ninapata moyo zaidi kuwa kuna watu wananifuatilia pia wanafaidika na uzi huu.
Karibu sana Chief
 
unawezaje kutofautisha miche ifuatayo.
1.Mche wa limao
2.Mche wa Chungwa
3.Mche wa chenza
4.Mche wa ndimu
 
Back
Top Bottom